Haahahah
Sijamdharau mtoto,nimeshangaa tu mama yake niliambia mrembo, mbona hajazaa mrembo kama yeye?instead mie mbaya nimetoa bonge la HB halina mfanowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo new lover wako atakimbia soon, sio kwa dharau hizo.
Ahh walikuwa na mdogo wangu,plus house helpHapo kwenye mtoto wa miezi 9 kucheza kwenye garden na kaka yake ndiyo umetufungua kuwa hii ni chai kama zilivyo chai nyingine.
Alafu unasema wewe na bwana wako mukawa munatia story,kula,kunywa na kuangalia,hapa chai umeongeza vitunguu swaumu
Aanze yeyeMpaka umefika hapo hujawahi kupata ufahamu kuhusu heredity?
Kama bado, ni muda wako kujifunza ili uache kushangaa na visivyo vya kushangaa
Aanze yeye
Kumbe heredity yake na mkewe ndio problem
Alipagawa na urembo fake wa mawigi na kujichubua,hahahahh
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaHapo kumdharau huyo mtoto asiyekukosea kwa lolote ndio umeharibu.. Wanaume wenzangu tuangalie na wanawake wa kuoa...
Mavi yako...
Usikute huyo mwanamke na yeye anamuona mwanao kinyago .... acha kujipa jipa sifa zakipuuzi .....Haahahah
Sijamdharau mtoto,nimeshangaa tu mama yake niliambia mrembo, mbona hajazaa mrembo kama yeye?instead mie mbaya nimetoa bonge la HB halina mfanowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Forgive and Be Humble..hata wewe hapo usijione kama vile ushamaliza Maisha, huyo Bintiye unaemcheka hujui kesho atakuwa nani.Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini.
Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na dharau, akafanya hadi nikapata msongo wa mawazo na kichanga changu.
Anyway miaka imepita, am happy with my new lover and my little prince, a very smart and handsome boy.
Aliongozana na mwanae wa kike ana miezi tisa kwa maelezo yake. Madhali walishakaribishwa hadi ukumbin sikuwa na jinsi ila tu kuwapa fake smile na kuwapokea. Akadai kamleta bintiye amsalimu kaka yake, nikajibu sawa.
Tukawakaribisha, nikiwa na my love pembeni. Vinywaji, msosi, movies zikawekwa na watoto wakawa wanacheza bustanini.
Niseme tu kuwa nilijikaza nisicheke. Mweeeh, kabinti kamevishwa mavazi ya Kariakoo, full anawakawaka ila ukimtazama huwezi dhani ni binti, at first nilidhani ni mtoto wa kiume.
Kimoyomoyo nikawa najiambia hapana, mwanangu hana dada kama huyu!
Anyway ndo walimwengu na ya walimwengu haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uko mawazoni mwangu.Mbona kama unateseka
Anaumia basi tuKama uko mawazoni mwangu.
Na kumcheka mtoto kusa!!!