Kwani ni lazima mtoto afanane na mama yake? Atakuwa kafanana na huyo bwanako.Haahahah
Sijamdharau mtoto,nimeshangaa tu mama yake niliambia mrembo, mbona hajazaa mrembo kama yeye?instead mie mbaya nimetoa bonge la HB halina mfanowe
Sent using Jamii Forums mobile app
SijamnangaHaupo sahihi kumcheka huyo mtoto maana hana kosa lolote na hajajiumba...btw hujafa hujaumbika..jitahidi kuwa na akiba ya maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina chuki naye wala hata mawasiliano naye sinaInawezekana kitendo alichokufanyia hakikua sawa!
Lakini chuki za yeye kukuacha hukutakiwa kuzipeleka kwa mtoto!
Sio wa kuoa mkuu wa kuzaa naoHapo kumdharau huyo mtoto asiyekukosea kwa lolote ndio umeharibu.. Wanaume wenzangu tuangalie na wanawake wa kuoa...
Mavi yako...
Kwahiyo mwanangu alinifanana that's y ni HB?Kwani ni lazima mtoto afanane na mama yake? Atakuwa kafanana na huyo bwanako.
Hlf hakuna mtoto mbaya, huyo unayemuona mbaya Leo baadae atakuwa mzuri, na hako ka hb katabadikika katakuwa kabayaaaa
Kwanini unamponda mtoto amekukosea nini?
Njoo nawe nikupe HB, Ila usiwe kapuku tuSio wa kuoa mkuu wa kuzaa nao
Mie sina chura,au huyu demi ndo ana chura?Rafiki kumbe una akili sana!Watu wanaosema mara ohhhh wanawake wenye chura hawana akili kumbe huwa wanatudanganya!
Sawaaa ngoja nmalize kusoma kwanza.
Ni Kama vile umeumia sanaKwahiyo mwanangu alinifanana that's y ni HB?
Jamaa alikuwa anajitapa yeye HB, akanambia amenizid uzur,so hawez oa mtu alomzid uzur,that's y nashangaa wazur kushindwa kutoa mzuri mwenzao.
Sent using Jamii Forums mobile app
We naeRafiki kumbe una akili sana!Watu wanaosema mara ohhhh wanawake wenye chura hawana akili kumbe huwa wanatudanganya!
Wanawake Bana, Sioni Picha Msonyo Huo!,,, Kwanza Huyo Mwanamme Limbukeni, Sijaona Mantiki, ,mtoto Wa Miezi 9 unaenda nae ugenini mwanaume, hizo ni sifa za kijinga,
Shangaa na weweWanawake Bana, Sioni Picha Msonyo Huo!,,, Kwanza Huyo Mwanamme Limbukeni, Sijaona Mantiki, ,mtoto Wa Miezi 9 unaenda nae ugenini mwanaume, hizo ni sifa za kijinga,
Acha tu nimeumiajeeNi Kama vile umeumia sana
Haha