The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Hahahaha sasa aliyemwita kwangu nani?aliniacha akisema sina mvuto,kapata mrembo,ndo nimeshangaa mrembo kutokuzaa mrembo mwenzie,lolKwa jinsi ulivyomchukulia huyo mtoto wa mwenzio,nimemuelewa jamaa kwanini alikukimbia!
Kwanini unamponda mtoto amekukosea nini?
HaahahahHapo kumdharau huyo mtoto asiyekukosea kwa lolote ndio umeharibu.. Wanaume wenzangu tuangalie na wanawake wa kuoa...
Mavi yako...
Alistukiza tu,hatuna mazoea nayeYaani hayo mambo ya mtu kuja kumtembelea mwanae kwangu dah, tuko tofauti.
Hata sijui sema toka jpil nikikumbuka nacheka kama chizUmeumia? Unawaswas? Umefurahi kapigika? Unamtaka? Au lengo la uzi ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa alinipa maneno ya kashfa nayakumbuka hadi Leo,kweli Mungu si athumanKwanini unamponda mtoto amekukosea nini?
Mtoto miezi tisa anacheza bustanini? Au umekosea mkuu?Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini.
Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na dharau, akafanya hadi nikapata msongo wa mawazo na kichanga changu.
Anyway miaka imepita, am happy with my new lover and my little prince, a very smart and handsome boy.
Aliongozana na mwanae wa kike ana miezi tisa kwa maelezo yake. Madhali walishakaribishwa hadi ukumbin sikuwa na jinsi ila tu kuwapa fake smile na kuwapokea. Akadai kamleta bintiye amsalimu kaka yake, nikajibu sawa.
Tukawakaribisha, nikiwa na my love pembeni. Vinywaji, msosi, movies zikawekwa na watoto wakawa wanacheza bustanini.
Niseme tu kuwa nilijikaza nisicheke. Mweeeh, kabinti kamevishwa mavazi ya Kariakoo, full anawakawaka ila ukimtazama huwezi dhani ni binti, at first nilidhani ni mtoto wa kiume.
Kimoyomoyo nikawa najiambia hapana, mwanangu hana dada kama huyu!
Anyway ndo walimwengu na ya walimwengu haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kitendo alichokufanyia hakikua sawa!Hahahaha sasa aliyemwita kwangu nani?aliniacha akisema sina mvuto,kapata mrembo,ndo nimeshangaa mrembo kutokuzaa mrembo mwenzie,lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokosea ni kumnanga huyo mtotoWe jamaa alinipa maneno ya kashfa nayakumbuka hadi Leo,kweli Mungu si athuman
Sent using Jamii Forums mobile app
No sijamnangaUnachokosea ni kumnanga huyo mtoto