Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
Huyu jamaa kanifundisha jambo kubwa sana mkuuDuuuh kubabeki.......huyu jamaa ana roho ya kipekee saaaana.
Na hata wangemuacha aende bado mngesema ..wangempiga hataa picha tu aende binadamu hamkosi maneno mwenye mke kaamua kufanya alichotaka kufanyaSasa mbona wamempiga picha uchi? Wangemwacha tu aende
Nimesikia hapo wanaomba mchungaji aombe. Sasa Mungu nnayemjua mimi anasema samehe saba mara sabini. Unless kama wana mungu wao tofauti.Na hata wangemuacha aende bado mngesema ..wangempiga hataa picha tu aende binadamu hamkosi maneno mwenye mke kaamua kufanya alichotaka kufanya
😢😢😢😢Jamaa bila shida kamuachia,haya ni maamuzi yanaitwa ya kiume
Hiyo mi naona kamsamehe sana aisee, sidhani kama angekuwa mwingine hapo jamaa angeondoka na viungo vyoteHakuna cha kumsifia maana kalipiza wema kwa ubaya, kumdhalilisha kote huko bado mnaona ni shujaa? Hapo ni sawa na kumuua mtu huku unamchekea.
Picha wametunza kumbukumbu tu mkuu kama ushahidi maana mtu akikufanyia ubaya hata kama umemsamehe unahitaji vielelezo kwa kuwa mbali ya dini tunaishi katika ulimwengu unaoishi kwa kufuata misingi ya sheria (maana anaweza akatoka hapo akachukua mke wa jirani na siku nyingine akachukua mtoto wa jamaa ama akatoka hapo akaanza kusambaza maneno ya kashifa kwa mwenye mke hizo picha zinabaki kama kielelezo tatizo tu hapo wachukua picha ni wengi na ndio maana video imesambaa)Nimesikia hapo wanaomba mchungaji aombe. Sasa Mungu nnayemjua mimi anasema samehe saba mara sabini. Unless kama wana mungu wao tofauti.
😀😀😀AaahHuyu jamaa alikuwa anatafuta sababu ya kumwacha huyo mwanamke, na inawezekana anashindwa kushughulika pa kitanda..... Ila mweeeh! kufumaniwa kusikie kwa jirani......
Yeah nikweli mkuuPicha wametunza kumbukumbu tu mkuu kama ushahidi maana mtu akikufanyia ubaya hata kama umemsamehe unahitaji vielelezo kwa kuwa mbali ya dini tunaishi katika ulimwengu unaoishi kwa kufuata misingi ya sheria (maana anaweza akatoka hapo akachukua mke wa jirani na siku nyingine akachukua mtoto wa jamaa ama akatoka hapo akaanza kusambaza maneno ya kashifa kwa mwenye mke hizo picha zinabaki kama kielelezo tatizo tu hapo wachukua picha ni wengi na ndio maana video imesambaa)
😀😀😀Nimesikia hapo wanaomba mchungaji aombe. Sasa Mungu nnayemjua mimi anasema samehe saba mara sabini. Unless kama wana mungu wao tofauti.
Picha wametunza kumbukumbu tu mkuu kama ushahidi maana mtu akikufanyia ubaya hata kama umemsamehe unahitaji vielelezo kwa kuwa mbali ya dini tunaishi katika ulimwengu unaoishi kwa kufuata misingi ya sheria (maana anaweza akatoka hapo akachukua mke wa jirani na siku nyingine akachukua mtoto wa jamaa ama akatoka hapo akaanza kusambaza maneno ya kashifa kwa mwenye mke hizo picha zinabaki kama kielelezo tatizo tu hapo wachukua picha ni wengi na ndio maana video imesambaa)
Watu sijui wanajiamini nn aiseeIla kuwa mahusiano na mke wa mtu inahitaji moyo sn