Haya ndio mambo ya Guinness wakuu!!!

Jakaya Kikwete hawezi kunywa pombe hadharani.
 
Safi Obama naona alikuwa kwa wa Irish grea great great grandfather hahhah:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Safi sana - Save Water and Drink Beer!

Tembea uone - kumbe kuna Draft ya Guinness?
 
Je waislamu kwani wanashiriki hii kitu?
Kwann umetaja dini badala ya mtu?jamaa amemtaja kikwete ww umekimbilia dini uoni kama unakosea?mwenyezi mungu sw anasema amemuumba binadamu ktk umbo lililo bora kabisa akamtofautisha na viumbe wengine kwa kumpa akili,anatapofanya jambo jema amemuandalia pepo na atakapofanya jambo baya amemuandalia moto.kuna tofauti kubwa sana kati ya uislamu na mwiislamu,so uwe makini unapotaja dini za watu unapomzungumzia mtu
 

Jakaya Mrisho Kikwete ni Muislamu (going by the name), na Waislamu "safi - siyo majina" hawatumii "vileo" - right?
 
Jakaya Mrisho Kikwete ni Muislamu (going by the name), na Waislamu "safi - siyo majina" hawatumii "vileo" - right?
Tatizo nn kaka kulikuwa hakuna haja ya kutaja dini alitakiwa mzungumzie rais kikwete kama rais cos mada inamuhusu rais obama kunywa pombe,na mtoa mada hakutaja dini ya obama alikuwa anaonyeshwa the way rais obama anavyosocialize right,na hakuhusisha dini yake,mchangiaji kakimbilia dini badala ya mtu,ndio maana nikasema kuna tofaouti kubwa kati ya waislam na uislamu,imani na mtu,zambi na wema
 
Chonde chonde funda moja tu la ziada litamuumbua Obama....ulevi nooooma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…