Haya ndio majipu ya kutumbuliwa

majebere

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
4,917
1,778
Screenshot_2016-02-17-23-54-55.png
Je serikali ina ona haya mambo, vijana wanavaa nguo za jeshi? Na inasikitisha sana kuona ndugu yetu ndio nguzo ya bunduki.
 
View attachment 323833 Je serikali ina ona haya mambo, vijana wanavaa nguo za jeshi? Na inasikitisha sana kuona ndugu yetu ndio nguzo ya bunduki.
Serikali ya awamu ya tano kwenye upande wa mavazi wao ni waoga kuthubutu kukemea Uvaaji wa hovyohovyo kama vimini, mlegezo ( kata k ) wanawaogopa sana Wavaaji Mlegezo wanadai ndiyo wapiga kura wao.
 
kwani hizo ni nguo za jeshi??????????
na hivi hapo ni tz???video imegoma kufunguka kwangu wakuu
na huyo mtu mweusi alilazimishwa kukaa hapo????
na hao wengine siwahindi au????
naomba majibu please...
nichukue hatua
 
Wakati mwingine kutokunyanyaswa kunapaswa kuanzie kwako mwenyewe.Sasa kama unajiweka kinyongenyonge halafu wanaamua wakunyanyase kisha uje uilalamikie serikali ni dalili za kutokukamilika kwako.
Tujifunze kuwa thabiti na imara jamani.
 
Mleta mada,
Kwanza kabisa hayo sio mavazi ya Kijeshi. Hayo ni mavazi ya wawindaji (Hunting Camo). Hayo mavazi yanavaliwa karibia Ulimwengu mzima na wawindaji...na yapo ya rangi tofauti kutokana na hali halisi ya mazingira katika sehemu ya uwindaji. Kilichonisikitisha hapo ni Huyo MBANTU aliyetulia hapo huku akitumiwa Kama "mounting Stand" ...daaaaah kweli tuna safari ndefu. Wakati hapo hapo ingekuwa Mbantu mwenzake umemuomba akushikie gazeti ufunge Kamba za viatu angekuporomoshea mitusi umemdharau.
 
kwani hizo ni nguo za jeshi??????????
na hivi hapo ni tz???video imegoma kufunguka kwangu wakuu
na huyo mtu mweusi alilazimishwa kukaa hapo????
na hao wengine siwahindi au????
naomba majibu please...
nichukue hatua
ni za kijeshi na ni iringa hapo. Njaa mbaya ndugu yangu, huyo sio lazima alazimishwe kufanya hivyo. Tena nadhani hao ni watoto wa mbunge.
 
Wavaaji wa nguo hovyo hovyo ni rafiki wakubwa wa awamu hii hata wakitembea Uchi bado hakuna wa kuwauliza swali.
Mkuu minyoo kwetu sisi wenye akili tumemuelewa sana,salute sana
 
kwani hizo ni nguo za jeshi??????????
na hivi hapo ni tz???video imegoma kufunguka kwangu wakuu
na huyo mtu mweusi alilazimishwa kukaa hapo????
na hao wengine siwahindi au????
naomba majibu please...
nichukue hatua
Mkuu chukua hatua angalau kulinusuru taifa siunajua hilo gwanda sasa linavaliwa tu?
 
Mleta mada,
Kwanza kabisa hayo sio mavazi ya Kijeshi. Hayo ni mavazi ya wawindaji (Hunting Camo). Hayo mavazi yanavaliwa karibia Ulimwengu mzima na wawindaji...na yapo ya rangi tofauti kutokana na hali halisi ya mazingira katika sehemu ya uwindaji. Kilichonisikitisha hapo ni Huyo MBANTU aliyetulia hapo huku akitumiwa Kama "mounting Stand" ...daaaaah kweli tuna safari ndefu. Wakati hapo hapo ingekuwa Mbantu mwenzake umemuomba akushikie gazeti ufunge Kamba za viatu angekuporomoshea mitusi umemdharau.
Huyo mbantu anawakilisha utumwa wa vijana wa lumumba
 
ni za kijeshi na ni iringa hapo. Njaa mbaya ndugu yangu, huyo sio lazima alazimishwe kufanya hivyo. Tena nadhani hao ni watoto wa mbunge.
Lumumba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom