Haya ndio majina!

libidozy

Member
Jul 16, 2009
56
3
Baadhi ya Watanzania wanadai eti wah.Kabaka na John Pombe Magufuli ndio mawaziri wenye majina mabaya duniani,ebu angalia listi ya mawaziri wa nchi za wenzetu halafu mlinganishe na akina Pombe na Kabaka. David Kinembe(Miundombinu-kenya),James Kakuma(Biashara -Zambia),Akaja Akatomba(Nishati-Ghana),Nalia Namboo(Sheria-Botswana),Antonie Chipumbu(Fedha -Msumbiji),Chirambo Kafirwa(Mazingira-Malawi),Rozia Kamkundu(Kilimo-Zimbwabwe),Jaqueline Natombeka(Utamaduni- S/Africa) na Kazakuku Firafisi(Mipango-Japan).Ebu fananisheni majina hayo na haya ya kwetu Tz.Byeeeee
 
Kwi, kwi, kwiiiiii! Nimecheka sina hamu mpaka mbavu zinauma. Hakika majina haya yanatisha japo hatujui katika lugha za wahusika yana maana gani. Ila kwa kiswahili yanachekesha sana. Mambo yako Nishati - Ghana! Hongera kwako mtafiti. Umefanya kazi kweli
 
Baadhi ya Watanzania wanadai eti wah.Kabaka na John Pombe Magufuli ndio mawaziri wenye majina mabaya duniani,ebu angalia listi ya mawaziri wa nchi za wenzetu halafu mlinganishe na akina Pombe na Kabaka. David Kinembe(Miundombinu-kenya),James Kakuma(Biashara -Zambia),Akaja Akatomba(Nishati-Ghana),Nalia Namboo(Sheria-Botswana),Antonie Chipumbu(Fedha -Msumbiji),Chirambo Ka*****(Mazingira-Malawi),Rozia Kamkundu(Kilimo-Zimbwabwe),Jaqueline Natombeka(Utamaduni- S/Africa) na Kazakuku Firafisi(Mipango-Japan).Ebu fananisheni majina hayo na haya ya kwetu Tz.Byeeeee


Mkuu malizia hapo kwenye Chirambo Ka*****
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom