haya ndio majangaa

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
yaan nimenunua simu mpya ni android lakini leo ya saba tena lakini internet imegoma kabisa kufunguka yaan nikifungua tu internet inaniambia web page not available au mfano nikifungua program ambazo ni lazima uzi acces na internet kama vile store huwaga inaniambia please insert sim card or enable data connection wakat sim card ipo na network ipo lakin internet tu imegoma na simu kama hii kama haikubal internet ni bora nokia toch simu yenyewe ni coolpad D539 ahsanten
 
aaf nimesikia kama hz simu ni android lakin zimetengenezwa specialized kwa nchi ya china na tunaamini wa china technology yao kwa sasa ni kubwa so isijekuwa tatzo ndio lipo hapo kwamba may b line ze2 za cm haziwez support mpaka inakwambia insert sim card wakati wa ku browse however sim card imo na network 3g ipo full
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…