Mkuu haya mambo kwa sisi bado sana labda kwanza tumalize hii rasimu ya katiba ya viongozi na siyo ya wananchi na hapo tena ni kutafuta vazi la mtanganyika maana vazi la tanzania tumeshindwa kulipata na hata tunaona aibu kutangaza umma lakini kwa mipasho tuko juu sana na hakuna inchi yoyote inayoweza kutukaribia na kuwonishana vidoli vya macho tena maprofisa na wahadhiri je haya ni maendeleo au siyo