Haya nayo yatanadiwa?

I love being on top of a thing .... mie ntapanunua top of the building.... walinadi in portion na hapo juu ndo nshapawahi
 
I love being on top of a thing .... mie ntapanunua top of the building.... walibarikiwa in portion na hapo juu ndo nshapawahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie wee
 
Kwa bei halali au kwa bei za kiserikali? Hilo anaweza linunua Nape kwa Tshs mil 25 na usiulize swali
unakuta wanawaita kwenye mnada kumbe majengo walisha gawana muda mrefu.
 
Reactions: ydn
Nchi imeangukia kwa wimbo ule wa Prof. J, zaaali la mentaali..........
 
Mi nataka goli la Tanesco pale Ubungo.
Au wizara yeyote iliyo kando ya bahari ya Hindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…