mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jul 24, 2022 #21 wali kupikwa jioni.
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Jul 24, 2022 #22 jokotinda_Jr said: Kwani sufuria siyo sehemu ya viombo Click to expand... yaani nitaosha vyombo vyote sufuria n mwishoni hata kama iko moja sijui kwa nn
jokotinda_Jr said: Kwani sufuria siyo sehemu ya viombo Click to expand... yaani nitaosha vyombo vyote sufuria n mwishoni hata kama iko moja sijui kwa nn
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,590 Jul 24, 2022 #23 Kujenga kabla ya kununua gari
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,069 Reaction score 15,754 Jul 24, 2022 #24 Kuita chumvi "mkubwa wa jiko" kuanzia saa 1 jioni.
jokotinda_Jr JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 882 Reaction score 1,541 Jul 24, 2022 Thread starter #25 Ivi hata ulaya ukiagiza supu utapewa chapati mbili bila kulizwa idadi ...maana hapa bongo ukisha agiza supu hutoulizwa idadi ya chapati
Ivi hata ulaya ukiagiza supu utapewa chapati mbili bila kulizwa idadi ...maana hapa bongo ukisha agiza supu hutoulizwa idadi ya chapati
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,069 Reaction score 15,754 Jul 24, 2022 #26 KISIWAGA said: Kujenga kabla ya kununua gari Click to expand... Hapa ni zaidi ya 90% ya wa-TZ ndivyo tulivyo.
KISIWAGA said: Kujenga kabla ya kununua gari Click to expand... Hapa ni zaidi ya 90% ya wa-TZ ndivyo tulivyo.
jokotinda_Jr JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 882 Reaction score 1,541 Jul 24, 2022 Thread starter #27 KISIWAGA said: Kujenga kabla ya kununua gari Click to expand... Bongo wako tafauti bora mtu awe na gari ila hana kiwanja ...mfano ruge mutahaba
KISIWAGA said: Kujenga kabla ya kununua gari Click to expand... Bongo wako tafauti bora mtu awe na gari ila hana kiwanja ...mfano ruge mutahaba
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,069 Reaction score 15,754 Jul 24, 2022 #28 Ukimuita Mtu njoo atakujibu "nakuja badala ya nitakuja ilihali muda huo anaondoka"
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 Jul 24, 2022 #29 Kuwaza ngono 24hrs * 7 days
jokotinda_Jr JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 882 Reaction score 1,541 Jul 24, 2022 Thread starter #30 Post M-alone said: Kuwaza ngono 24hrs * 7 days Click to expand... Hii kwa wote hata wazungu
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,168 Reaction score 11,229 Jul 24, 2022 #31 Mwanamke kuamini yeye ndo anapaswa kupigiwa simu kila siku na kupewa hela,hawez toa hela kwa mwanaume. Kitanda kuwekwa ukutani(pembeni mwa chumba)
Mwanamke kuamini yeye ndo anapaswa kupigiwa simu kila siku na kupewa hela,hawez toa hela kwa mwanaume. Kitanda kuwekwa ukutani(pembeni mwa chumba)
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,069 Reaction score 15,754 Jul 24, 2022 #32 Ukisemeshwa na mkubwa wako hutakiwi kujibu na ukikaa kimya utatafsirika pia una kiburi
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,482 Reaction score 203,155 Jul 24, 2022 #33 Namba 6 inanihusu Namba 5 sijawahi aisee,, mie inaanzaga ndio namaliza na kuoga π«£ Namba 2, mimi nalala mwanzo wa kitanda.
Namba 6 inanihusu Namba 5 sijawahi aisee,, mie inaanzaga ndio namaliza na kuoga π«£ Namba 2, mimi nalala mwanzo wa kitanda.
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,590 Jul 24, 2022 #34 jokotinda_Jr said: Bongo wako tafauti bora mtu awe na gari ila hana kiwanja ...mfano ruge mutahaba Click to expand... Ina maana marehemu Ruge alikuwa hana getto kule kwao kwenye nchi ya buhaya
jokotinda_Jr said: Bongo wako tafauti bora mtu awe na gari ila hana kiwanja ...mfano ruge mutahaba Click to expand... Ina maana marehemu Ruge alikuwa hana getto kule kwao kwenye nchi ya buhaya
jokotinda_Jr JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 882 Reaction score 1,541 Jul 24, 2022 Thread starter #35 KISIWAGA said: Ina maana marehemu Ruge alikuwa hana getto kule kwao kwenye nchi ya buhaya Click to expand... Kwa mujibu hakuwa nayo ila kama una udhahidi weka hapa
KISIWAGA said: Ina maana marehemu Ruge alikuwa hana getto kule kwao kwenye nchi ya buhaya Click to expand... Kwa mujibu hakuwa nayo ila kama una udhahidi weka hapa
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,590 Jul 24, 2022 #36 jokotinda_Jr said: Kwa mujibu hakuwa nayo ila kama una udhahidi weka hapa Click to expand... Hakuna muhaya wa kujisahau kiasi hicho
jokotinda_Jr said: Kwa mujibu hakuwa nayo ila kama una udhahidi weka hapa Click to expand... Hakuna muhaya wa kujisahau kiasi hicho