minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 507
- 876
Umeviokota kwenye gunia la dagaa?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mkuu huo ni utajiri wa kufa mtu
Usikubali mtu yoyote akulaghai au kukukatisha tamaa ya aina yoyote.
Ukiweza chukua hayo madini uende nayo moja kwa moja BOT au kwa CAG au tawi lolote la nmb au crdb bank
Maendeleo hayana chama
Nenda Sabasaba banda la wizara ya nishati na madini[emoji16][emoji16]ila kwenye upande wa madini mwenzenu mweupe sana, hivi ni nani mwingine ambaye hajawahi kujutana na dhahabu kama mimi!!yaani siijui zaidi ya kuiona youtube.
Eeeh, ngoja nifanye mpangoNenda Sabasaba banda la wizara ya nishati na madini
Hayo mawe mbona yapo yanazagaa tu mtaani... Hada around ofisi nyingi zinazohusiana na Madini[emoji23][emoji23]Eeeh, ngoja nifanye mpango
Hayo yanauzwa kilo 80 elfu na leseni yake kuikata ni 50 elfu hayana ishu hapo morogoro na tanga yanachimbwa kibaoMkuu huo ni utajiri wa kufa mtu
Usikubali mtu yoyote akulaghai au kukukatisha tamaa ya aina yoyote.
Ukiweza chukua hayo madini uende nayo moja kwa moja BOT au kwa CAG au tawi lolote la nmb au crdb bank
Maendeleo hayana chama
Huo ni uongo hayo madini ndio yamezungumziwa hata kwenye ripoti ya CAG yana thamani ya bilioni za shilingi.Hayo yanauzwa kilo 80 elfu na leseni yake kuikata ni 50 elfu hayana ishu hapo morogoro na tanga yanachimbwa kibao
Pole sana nadhani kila mtu ana tofautiana na mwenzie kwenye ujuajiHuo ni uongo hayo madini ndio yamezungumziwa hata kwenye ripoti ya CAG yana thamani ya bilioni za shilingi.
Maendeleo hayana chama
Nashukuru kwa kutambua hiloPole sana nadhani kila mtu ana tofautiana na mwenzie kwenye ujuaji
Aise..huwa sipendagi ligi..Nashukuru kwa kutambua hilo
Siku nyingine upoona haujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kushinda na watu wenye taaluma zao.
Maendeleo hayana chama
Hahahaaaa mkuu upo serious sana kiasi kwamba umeshindwa hata kugundua nnachobishania hapa ni utani tu, hayo madini na CAG wapi na wapi. Mleta mada mwenyewe alikua anacheka tu na comments zangu ila wewe umekazania tu kubishana na mtu asie na ufahamu wowote kuhusu madini.Aise..huwa sipendagi ligi..
Tufanye umeshinda wewe