Gwesefe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 682
- 382
Nilikuwa na demu tukiishi mkoa fulani bhana, sasa akapata kakazi fulani Dar kumbe alipofika huko akapata mchepuko mwingine na kuanza kuzuga yaani baby nimekumiss mara yaani utanikuta kama ulivyoniacha.
Siku ya siku nikatinga mjini ghafla tukaonana tukapiga story ila akawa mtu wa wasiwasi fulani, simu hapo kaweka silence anasomea sms pembeni nikagundua janja yake.........., katika kumbana akakubali kuwa amekuwa akitembea na mkaka mmoja mwezi wa tatu sasa ila alimueleza ukweli kuwa yupo na mimi, kwa hiyo kumbe hata night nikipiga simu anapokea bila shida maana jamaa anajua anakausha tu.
Mi nikaamua kumpiga chini akamueleza mchepuko wake kuwa nimeachana na jamaa yangu baada ya kugundua na msaliti kwa hiyo nitakuwa na wewe tu peke yako, jamaa na yeye katafakari baada ya wiki moja akamuita akamuambia na mimi tuachane tu maana nilikukuta na mtu wako.
Cha ajabu baada ya huko nako kula cha mbavu eti anarudi kujiombesha msamaha. Jamani suala kama hili linakaaje au na mimi nimfanye mchepuko kwa sasa?