Haya mapenzi hata shetani angeyaogopa.

 
Last edited by a moderator:

nimewaacha love
 
unasema tu Matege ila kuna watu wanatengana halafu unakuta mwanaume anakujia umuunganishie kwa rafiki yako mwingine na unakunjua moyo kiroho safi.....

mkuu namuunganishia kiroho safi. mi na yeye si tumeachana???
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ni upofu aisee unaweza kuta watu wameumizana wewe unajitia kuwahurumia na kuwashauri waachane baada ya mda wanarudiana kwa mapenzi motomoto mi huwa siwashauri wapenzi wagombane wakitulia wana rudiana wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…