Haya maji ya Azam sasa ni shidaaa!

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Habari zenu wadau, nimevumilia nimeamua Leo rasmi niache kutumia hii kitu hadi warekebishe bidhaa hii, Ki ukweli maji haya yana chumvi Siku hizi balaaa! Naomba wahusika waangalie upya ktk kuboresha Huduma hiyo!
 
Na joto la Dar unaweza kukata hadi Lita 3 kwa mkupuo Na kiu isikate kwa chumvi iiyopo humo.
 
Habari zenu wadau, nimevumilia nimeamua Leo rasmi niache kutumia hii kitu hadi warekebishe bidhaa hii, Ki ukweli maji haya yana chumvi Siku hizi balaaa! Naomba wahusika waangalie upya ktk kuboresha Huduma hiyo!
Sijui wahusika wa kudhibiti Viwango, Vipimo, TFDA wapo. Kila kitumajanga, matangazo meeengi katika TV, lakini bidhaa zenyewe ni shiidah.
 
Hakuna anayeyachakachua, ukiangalia ingredients yana pH kubwa sana Na ndio inasababisha yawe hivyo. Angalia hiyo utagundua.
sawa mkuu katavi, sasa maji kwa kawaida yanatakiwa kuwa na pH ngapi 0-14
 
Hakuna anayeyachakachua, ukiangalia ingredients yana pH kubwa sana Na ndio inasababisha yawe hivyo. Angalia hiyo utagundua.
sawa mkuu katavi, sasa maji ya kunywa kwa kawaida yanatakiwa kuwa na pH ngapi 0-14
 
Back
Top Bottom