Haya majengo ya mji yaliyochipua yanaendana sambamba na utanuzi wa miundombinu ya jiji?

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
324
184
Salam alekuim
Jamani katika miaka hii ya karibu haswa utawala wa awamu ya nne tumeona mfumuko wa majengo ya aina mbalimbali mjini dar es salaam.
Halli hii inaacha na maswali kadhaa
1.je haya mabadiliko au ongezeko linaenda sambamba na utanuzi wa miundo mbinu ya jiji.
2.je yote haya Yana pata biashara iliyokusudiwa
 
Kwanza tujiulize mapato yanayotumika kujengea hayo majengo yanaenda sawa na kodi stahiki tra ?
 
Back
Top Bottom