Polee Sanaa ndugu...
Hyo mvua binafsi imeniathiri ktk kilimo changu cha mpunga huwez amini eka moja mtu unapata gunia 3 adi 2...
Kuna jamaa yngu nae alilima ufuta pande za Kilwa katoka patupu hajarudisha ata cent..
So,usijihisi vibaya ktk Hilo janga,ni janga la taifa kila mkulima limemgusa so usikate tamaa.
Sina kazi ya kukuajiri Ila nina mawazo ya kukupa ili ufikie malengo yake.
1:- Jipange urudi tena ktk kilimo cha maindi naamini unauzoefu wa kutosha ktk hcho kilimo,pia naamini mwakani ni mwaka hali ya hewa itakuwa shwari kwa wakulima hvyo usikate tamaa.
2:- Kabla hujafikiria kuajiriwa embu kaa chini fikiria wazo zuri la biashara ambayo utaweza kuiendesha upate chochote kitu,jaribu kuwa mbunifu kulingana na changamoto zinazokuzunguka.
Najua utasema tatizo mtaji Ila amini mtaji upo Ila tatizo mawazo.(money is all about an idea that why we have a business idea)
Tengeneza idea nzur ya biashara theni itengenezee business plan yako nzuri na iwe simple tu afu feel as if unaimiliki na unaiendesha hyo biashara...then washirkishe watu wako wa karibu kuhusu hyo idea yako ikiwezekana ata apa jf ilete watu wenye uzoefu nayo watakupa mwangaza.
3:- naomba uamini kwenda chuo si ndio kutoboa maisha...usijihisi mpweke hyo elimu uliyo nayo apo inatosha kwako kukuwezesha kutoboa life.
Mwisho Kama upo tayar kushare na mimi mawili matatu kuhusu idea mbalimbali za biashara ni pm mkuu...Mana nami nipo ktk kupambana japo namalizia degree yangu niingie mtaani kupambana kikamili.
Kama utapata pa kujishikiza nakuomba fungamana na vtu hivi.
1. Uamini
2.kujituma
3.subira (uvumilivu)
4.nidhamu