haya MAGUVU tunatoa wapi wadada wanapotuomba msaada wa kubeba MIZIGO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya MAGUVU tunatoa wapi wadada wanapotuomba msaada wa kubeba MIZIGO?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Mar 17, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...huwa najiuliza mwanadada anapokuomba msaada kijana wa kiume,unakua na nguvu za ajabu kusaidi...(hapa naongelea mizigo zaidi)...leo nimekuta mdada kabeba ndoo ya maji...nikamwambia pole...akasema mmmmh,pole labda unisaidie zile ndoo paleee!(zilikua mbili) nikazikamata kwa pamoja mpaka kwao...BTW simfahamu huyu bi dada!...kiukweli zilikua nzito...

  juzi flani tena bi dada mmoja ametoka Alpha dry cleaner...mingup kibao inataka kumdondosha...mshkaji wangu akamwambia poleee!..dada akasema...mmmh asante...nisaidie basi...mshkaji akakamata..paaap akaweka begani mpaka kwenye gari ya yule du.

  atleast alichukua namba ya simu...wanawasiliana..sijui wamefikia wapi...asee wadada wana nini hawa?
   
 2. S

  SI unit JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu bagah, salama? Unapiga nondo siku hizi au.. Mida mida mkuu, napita!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwani wakati huo unakuwa unabeba wewe?
  Kumbe hujui? Ni mdogo wako ndo anaamuru nguvu zije.

  Si unaona mwenzio wanawasiliana na hujui wamefikia wapi?
  Wanaweza kuwa wamefika shingoni.
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  acha tu hata nondo sipigi...SI U siku nyingine usipite hapa...hakuna nji...na Mbwa mkali...
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  unachezea mvutano wa chanya na hasi wewe?
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  najaribu kumfaham huyo mdogo wangu...LOL

  wamefika shingoni wakitokea juu au chini???
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hakika!..
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mkuu BAGAH swalamaah?
  MP.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwani samaki huwa anaanziwa kichwani au miguuni?
  Fomula ni hiyo hiyo.

   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  swalamah!..
  nipe kashdaa!
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mbona tunapeana bungua bongo??
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kitu kizuri chochote lazima kiumize kichwa.

  Cheki watu wanavyolia na mapenzi.

   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hamna kashda mkuu!!
  siku nyingine usisahau kuchukua namba.
  MP.
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MP umeona eeh?
  nilichemsha hapo!
   
Loading...