Kitendo cha kugundua kama kuna ulimwengu mwengine pia ni ugunduzi,sasa hayo magunduzi yanaashiria nini au yana maana gani...?Ina maana kwamba huko mbeleni tutaweza kugundua kama kuna ulimwengu mwingine tofauti na huu na pia uwezekano wa kufanya interstellar journeys kwa kutumia wormholes. Physics of the future by michio kaku.
You made my day.Mchwa wakitaka kuangamizwa wanapewa mbawa!