Alipona lini wakati yuko likizo ya matibabu?ukiwa chini ya ulinzi unaweza kisafiri kutembea chini ya ulinzi wa aliyekuweka chini ya ulinzi kama alivyofanywa leo kinana.Lakini ukiwa mgonjwa hayo ni magumu!!!!!Wanasema aliwekwa under house.........kama Marhum Jumbe sasa nani mkweli nani murongo suala la muda itajulikana
Haya wewe umeanza.!!kama hajaonywesha we huli??
Star Tv Wamemwonyesha na amezungumza.Nimejiuliza tu. Kama Mbowe kaongea kwa niaba ya Chadema. Kinana naye aliongea kwa niaba ya ccm. Lakini coverage zake zimefichwa. Whyyy. Hii ingesaidia ku clear doubt ya mitandao iliyokuwa inaandika propaganda za ajabu kumhusu na zinazomuunganisha na mheshimiwa Rais. Naomba tuchangie kizalendo sio kiushabiki
Amesharudi toka mlipomtuma.
Kwani hapo yuko kazini ?Tuwaulizeni nyie mlo sema yuko likizo ya ugonjwa wakati mtu yuko fit