Haya huwa yananikera sana......

hehehe!
mdogo wangu huyu mpuuzi!
unajua mimi mtu anaewadhihaki wanawake sooo direct and open kwa vitu ambavyo havina ukweli NAMCHUKIA SANA
......Lazima yatakuwa machweo haya si bure....Eeehh! tuendelee mzee kijana..
 
...HIVI KUMBE HUJAOA?....
mwanaume ambaye ni bachelor haruhusiwi kupost unachokiandika hapo.

UNAWADHIHIRISHIA WANA-JF KWAMBA WEWE NI MALAYA?....!halafu umalaya sio ujanja mdogo wangu.

SHAME ON YOU!

Jamani ameeleza mtazamo wake mbona unakuwa mkali hivyo?kama wewe umeoa si wewe tupo wengi tu humu ambao hatuajaoa wala kuolewa.Je hiiipo kwenye rules kwamba kama hujaoa ama kuolewa usitume posts humu? si bora yeye amejielza ukweli?
Mmh amekugusa nini?
 
...Mkuu nimekugongea kasenksi kule. Ndio maana nilisema kule kwetu wakati mwezi ukiwa mchanga tulishauriwa tuwe tunakuwa karibu na watu kama Geoff...nafikiri wale wazee waliona mbali ni katika kuwasaidia tu...Sasa huyu karibu giza litaanza atatulia mkuu!!
 
Duu,kumbe mpaka dunia hii ya vipodozi mpaka vya kichina still hizo michakato zina exist?
 
imposible kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…