Haya hapa maandamano mapya ya wasomi

Haya hapa maandamano mapya ya wasomi

mwmbeki

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
91
Reaction score
124
Wasalaam wana bodi..
Direct kwenye topic.
Mwaka 1967, (sikumbuki tarehe na siku),Baba wa taifa JK nyerere, akiwa chuo kikuu cha Monrovia, nchin Liberia, aliwambia wanachuo hicho maneno haya;
"kazi ya chuo kikuu ni kuchimba na kuujua ukweli,nchi za afrika zitapata maendeleo yake kutoka kwa wanafunzi wake wa vyuo vikuu" Ni mda sasa wote wenye elim kuisaidia nchi yao kupata maendeleo ya kweli
Ni mda sasa wa kufkri kwa kina juu ya mstakabal wa taifa lao.
Ni mda sasa wa kuweka ushabiki wa nyama pemben na kuangalia kama dereva wa basi atatufikisha salama.
Kumbuken ni wanavyuo hao hao,mnaodharaulika mtaani,mmesoma na hamna kazi,weng wenu sasa hivi mnafanya kazi ambazo zinastahil kufanywa na watu wasiojua kusoma na kuandika mfano kutmbeza karanga,vitumbua,machungwa, kusajil lain barabaran,daradara za pikipiki,na baiskel nk
Hali hii kwa mtazamo Wang itaendelea kama isipothibitiwa mapema
Ni mda sasa nyie wasom kusimama imara na Kusema hapana,Tanzania is our's, we want to share the fruits of our tree,we want to use the milk of our cow, Itisheni kongamano kubwa La kujadr mwenendo wa nchi
Tukiri tu kwamba mambo mengi yamebadilika kinyume na falme zingine zilizopita,mfano ajira kupungua sana,nyongeza ya mishahara,Uhuru wa kuongea na mengne mengi.ina maana hamyaoni?? hali ya maisha imebadrika kabsa,kwel mnasubr hadi miaka 10 iishe??
Mimi sihamasishi maandamano make ntafungwa japo ni matakwa ya katiba yetu,
Tushikamane tukomboe nchi yetu,kwan tulipopata Uhuru, ngoma zilipigwa,watu warifurah,walishangilia na wengine walilia kwa kufuraha kwamba tunajitawala..
sasa mtu mmoja kunyamaziwa afanye anavyotaka ni kuona wote marofa,
naomba niishie hapo japo ni mengi sana ya kuandika
wanaounga mkono hoja njoon pm tutengeneze group..
 
Rungu tutakupa ila usije ukali tumia Vihaya
 
Mawazo yako yamepitwa na wakati kitambo,
Unataka vijana wafe njaa kwa kuchagua kazi.
Au umeanzisha thread ukiwa na kilevi kichwani.
 
vijana wapi hao wa vyuo unao wazungumzia??..

vijana wa chuo itisha bonanza la muziki ndo utawapata ila sijui kongamano la kujadili elimu utaishia kuaibika tu!!
 
Usitake kila mtu awaze vile unavyotaka wewe. Wanafunzi kazi yao ni kusoma. Hayo ya kupambana na dola ni yenu. Tatizo lenu mnataka kazi yenu ifanywe na wengine. Juzi kuna mwehu alikuwa anatukana walimu hapa. Leo wanafunzi. Jamani mtuache kama shida zetu mnaziona nyie zaidi yetu basi mwambieni mheshimiwa matatizo tuliyo nayo kuliko kutuhamasisha kufanya yale mnayotaka nyie. Tumekataa na mfano mzuri tumewaonyesha juzi. HATUTAKI.
 
Kwani ni wapi imeandikwa lazima uajiriwe na ni wapi imeandikwa ukisoma kazi zingine usifanye?
pengne ni hujui kitu,ngoja nkueleweshe
Ni wajibu wa serikal kuhakikisha wananchi wake wanapata elimu na ajira..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom