Hawavumi Lakini WAMO

Hawavumi Lakini WAMO

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Inasemekana kuna kabila moja nchini kenya wanawake huwa wanawanyanyasa na kuwapiga wanaume zao.na hii picha ni ya mmoja wa wanaume ambaye amekutana na ukatili wa mke wake....jewanawake wa tanzania mnatamani kuwa na ubavu kama hili kabila la kenya?wanaume Tunasemaje kama hali kama hii ingekuwa na tanzania?

10616079_631547450298368_3721719421657656831_n.jpg
 
Wacha kuhamasisha upuuzi, wanawake wetu wanasifika ulimwengu wote kwa upole, ukarimu na ustaarabu!! Wapo wachache lakini Mikenya duuu!! Kwanza wanawake wao wana sura ngumu kuliko wanaume we unategemea amani hapo??
 
Hivi hao wanaume wanaopigwa, inamaana hawana nguvu au ni utamaduni upo tu??

Yan nikae nipigwe?? Na ndoa inavunjika hapohapo.
 
Nilishawahi kumuudhi wife. Akaniezeka kofi paaaaa!! Lakini mbio ndio zilimuokoa maana niliona kitenge kileee kinapepea. Sema tuliyamaliza.
 
Back
Top Bottom