GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,223 Reaction score 7,082 Oct 4, 2016 #1 Inasemekana kuwa picha inaweza kujieleza zaidi kuliko maneno.Nimekutana na picha hii mitandaoni.Ni nini tafsiri ya picha hii?.
Inasemekana kuwa picha inaweza kujieleza zaidi kuliko maneno.Nimekutana na picha hii mitandaoni.Ni nini tafsiri ya picha hii?.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Oct 4, 2016 #2 Sisi wa huku Nanjilinji vijijini usipo tupa na kautambulisho kidogo ya picha husika unakuwa kama umetususia mlenda wetu!
Sisi wa huku Nanjilinji vijijini usipo tupa na kautambulisho kidogo ya picha husika unakuwa kama umetususia mlenda wetu!
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Oct 4, 2016 #3 Ni nini tena tumevamiwa au..
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,223 Reaction score 7,082 Oct 4, 2016 Thread starter #4 Ni kweli kabisa,Asante kwa angalizo.Huyo ni Maria Sarungi mkurugenzi wa taasisi ya Change Tanzania,
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Oct 4, 2016 #5 Hao watu hapo nyuma yake wanafurahia chura ya Maria Sarungi (joke) Mtoa mada fumbua fumbooooo sio wote werevuu
Hao watu hapo nyuma yake wanafurahia chura ya Maria Sarungi (joke) Mtoa mada fumbua fumbooooo sio wote werevuu