Hawara Hajengewi Nyumba; Hununuliwa Gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawara Hajengewi Nyumba; Hununuliwa Gari

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bazazi, May 6, 2010.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Wakuu nilibahatika kuwakuta ndugu wawili wakizozana, mkubwa akimlaumu mdogo kwa kumjengea nyumba small haouse wake wakati mkubwa anasema huo ni upuuzi. Hoja ya mkubwa ni kuwa nyumba umempa kitu cha kudumu ambacho hatakuwa akikutegemea tena ilhali gari lazima awe tegemezi hivyo hawezi kukuacha kirahisi.

  Naomba nililete kwetu mliangalie katika pande zote mbili za sarafu.

  Nawasilisha wakulu wange:angry:
   
 2. p

  prosperity93 Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tafuta mtumishi wa Bwana awasaidie
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wote ni washenzi wa tabia! Wamelaaniwa; waulize shangazi zao na wajomba wamewazawadia kitu gani; usikute hata wazazi wanaishi kwenye mbavu za mbwa!
   
Loading...