Hawaibiwiii utakufa bure kijana!

Nimekutana na wengine kituo cha dala dala asubuhi hii, wapo kama sita wamevaa sare za mazoezi nyuma zimeandikwa "JUDO"
 
Hahahah kitu cha kustukiza hiko,unaweza kuzima kama hauko stable!
 
Jamaa mguu ulivyonyanyuliwa akaona nanihii nguvu zikamwishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…