Huyu Jamaa kwa Sasa Kaka yake ndiyo Mbunge anayemaliza muda wake kutokea CUF, Anaitwa Vedastus Ngombale Mwiru. Mbunge wa Kilwa Kaskazini.
Chimbuko Ni Kipatimu ambapo ndipo alipozaliwa Mzee Kingunge.
Note ; Maji hufuata mkondo, na ukizingatia CCM inataka hilo Jimbo. Lakini pia ikumbukwe kwa Sasa wananchi wa vijijini wanaangalia undugu zaidi kuliko chama.
Huko nzi wa kijani kila mjinga anaona anafaa kua mbunge,kuna mzee wa kula rambirambi,babu tale list ni ndefu sana,wengi wao ukiwauliza wanakuambia lusinde na msukuma ndio role modo wao