Acha Uvivu JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 524 Reaction score 131 Feb 1, 2013 #2 Mkuu wa nchi anajaribu kucopy na kupaste. Yaani Baba Mwanaasha anapiga simbi hata kucheza!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 Feb 1, 2013 #3 mara wimbo ume-change ghafla na kuwa bluz!!!
B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 Feb 1, 2013 #4 Wabaya hawa kwa mademu ndo maana hakuna wanawake hapo wangewagombea!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Feb 1, 2013 #5 JEIEKEI hachelewi kucheza viduku kamera zikizimwa............
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,672 Reaction score 13,996 Feb 1, 2013 #6 Zamaulid said: mara wimbo ume-change ghafla na kuwa bluz!!! Click to expand... kwi kwi kwi,c tutaona atakavyobambiwa,hvvv kwenye ule msafara mama mwanaasha naye hujumuika au ndo anaenda alone kugegeda vitaga vya kizungu
Zamaulid said: mara wimbo ume-change ghafla na kuwa bluz!!! Click to expand... kwi kwi kwi,c tutaona atakavyobambiwa,hvvv kwenye ule msafara mama mwanaasha naye hujumuika au ndo anaenda alone kugegeda vitaga vya kizungu
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 Feb 1, 2013 #7 steveachi said: kwi kwi kwi,c tutaona atakavyobambiwa,hvvv kwenye ule msafara mama mwanaasha naye hujumuika au ndo anaenda alone kugegeda vitaga vya kizungu Click to expand... wakati mwingine mama mwana asha utakuta naye yuko kwenye misele yake ya kimama mama!!
steveachi said: kwi kwi kwi,c tutaona atakavyobambiwa,hvvv kwenye ule msafara mama mwanaasha naye hujumuika au ndo anaenda alone kugegeda vitaga vya kizungu Click to expand... wakati mwingine mama mwana asha utakuta naye yuko kwenye misele yake ya kimama mama!!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Feb 1, 2013 #8 kikwenga bwana anawaza vanga tu hapo kama kashika majani wa mti..
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Feb 1, 2013 #9 asigwa said: JEIEKEI hachelewi kucheza viduku kamera zikizimwa............ Click to expand... si promota lazima avijue
asigwa said: JEIEKEI hachelewi kucheza viduku kamera zikizimwa............ Click to expand... si promota lazima avijue
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Feb 1, 2013 #10 mwenzie huko kwake majanga yakitokea anaacha safari na kushiriki na wananchi wenzake kukabiliana na majanga sijui yeye hajui kujifunza kwa mwenzake?
mwenzie huko kwake majanga yakitokea anaacha safari na kushiriki na wananchi wenzake kukabiliana na majanga sijui yeye hajui kujifunza kwa mwenzake?