Unampigia mtu simu unaanza kusikia
Uislam unasema mtu akishakula mlo wa jioni atembee kidogo kabla ya kwenda kulala... Halafu unasikia mtume saw anahimiza kulalia upande wa kulia na si wa kushoto kwani moyo uko upande huo...
My concern is, kwani hakuna tafiti za kisayansi zinazozungumzia hayo? Huyo mtume ana hatimiliki ya huo utafiti wake? Kwani uislam pekee ndio unajjua huu ukweli kuwa ukishakula usilale muda huo huo? Tusitiane majaribuni kwa mambo ambayo hayahitaji propaganda kuyaelewa
Kuoa wake 15 alipata wayhi pia,Ila wengine wayhi ikasema muoe 4 sababu yeye ni swahiba wake na Allah.Wewe unashangaza sana, kwan mwanasayansi ni nan unadhani? Mtume Muhammad radhi za Allah ziwe juu yake alikuwa ni zaidi ya mwanasayansi kwa sababu alikuwa anapokea wahyi kutoka kwa Allah, kwa acha dharau
wewe hujitambui kwanza hiyo signature yako inaenda kinyume na unachokiamini imeandikwa AMERAHANIWA YULE AMTEGEMEAE MWANADAMU KATIKA MAISHA YAKE.Unampigia mtu simu unaanza kusikia
Uislam unasema mtu akishakula mlo wa jioni atembee kidogo kabla ya kwenda kulala... Halafu unasikia mtume saw anahimiza kulalia upande wa kulia na si wa kushoto kwani moyo uko upande huo...
My concern is, kwani hakuna tafiti za kisayansi zinazozungumzia hayo? Huyo mtume ana hatimiliki ya huo utafiti wake? Kwani uislam pekee ndio unajjua huu ukweli kuwa ukishakula usilale muda huo huo? Tusitiane majaribuni kwa mambo ambayo hayahitaji propaganda kuyaelewa
Thread ya kijinga kabisa hii kuwahi kutokea hapa jf.Unampigia mtu simu unaanza kusikia
Uislam unasema mtu akishakula mlo wa jioni atembee kidogo kabla ya kwenda kulala... Halafu unasikia mtume saw anahimiza kulalia upande wa kulia na si wa kushoto kwani moyo uko upande huo...
My concern is, kwani hakuna tafiti za kisayansi zinazozungumzia hayo? Huyo mtume ana hatimiliki ya huo utafiti wake? Kwani uislam pekee ndio unajjua huu ukweli kuwa ukishakula usilale muda huo huo? Tusitiane majaribuni kwa mambo ambayo hayahitaji propaganda kuyaelewa
Kwahiyo na wewe nae hapo unaona umeandika bonge la comment eeh? Hapo unasubiri likes tu sio?Unaanzisha vita mkuu , maana hawa jamaa wakipingwa kwa hoja wao wanakuja na mawe
Kuoa wake 15 alipata wayhi pia,Ila wengine wayhi ikasema muoe 4 sababu yeye ni swahiba wake na Allah.
Unaanzisha vita mkuu , maana hawa jamaa wakipingwa kwa hoja wao wanakuja na mawe