Hawa watu sasa wamezidisha

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,670
Leo katika pita pita zangu hasa maeneo haya ya Sinza yaani nikaona kabisa wamemvamia jamaa hadi nikamuonea huruma yule mtu yaani wakawa manajipanga yule mtu anakagua mmoja badala ya mwingine na anapapasa kabisa kama ile kitu ipo vizuri hadi nikasema ndo ishakua hivi siku hizi au ndo wateja wamepungua.

Kufika mbele nikawaona wengine wanapiga miayo kabisa nazani hata kula hawajala sasa hadi nikawa nawaonea huruma..

Ishu inakuja kuna wengine wadogo kabisa hadi napita najiuliza maswali mengi sipati jibu..sasa mijitu inapita inatomasa afu inasepa tu daah aisee.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi km awa nawala safi kabisa, hila lazima uwale na mbilimbi, pili pili, na limao pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…