GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,034
Aisee poleni sana wanandoa
Kasie nmependa maelezo yako!Kama unaishi nyumba kubwa nikimaanisha yenye vyumba zaidi ya viwili, basi kimoja kiweke kama stand by chumba cha mtoto kulala. Na huko ikifika mida ya saa mbili au tatu usiku mtoto akilala mnamlaza hapo halafu nyie mnaendelea na mistkasi zenu. Ukifika wasaa wa kubonjibo mnaingia chumbani kwenu mnafanya yenu ila baada ya gemu ya kwanza wewe baba una nyata kwenda kumchungulia mtoto, kisha mnaendelea hadi mtapochoka mnaoga mnatandika kitanda vizuri kisha mnamhamisha mtoto chumbani kwenu hadi asubuhi.
Ukitaka morning glory asubuhi kabla hujaenda kwenye shughuli zako mwendo ni huo huo....
Mkimzoesha hiyo ratiba atazoea ikifika mida hiyo atakuwa analala, japo wakati wote ni wakati wa chai, hata mchana nyie fanyeni yenu chumbani yeye mkiwa mmemlaza chumba kingine.
Tumieni hata mbinu za kizungu za kurekodi sauti zenu mkimsemesha na kumuita jina lake halafu muweke repeating tape kama wale wanaotangaza....
Sumu ya panya mende sisimizi kiroboto sumu ya panya, dawa ya mba fangasi mapele mapunye sumu ya panya....
Laah mama anaweza akalala ubavu, huku nyuma anakupa wewe ulengeshe mahala sahihi huku kwa mbele anamuweka mtoto kwenye titi anyonye. Sasa mikito ya baba inatakiwa iwe ya kijotii bonyeeee..... (yaani taaaratiibuu taraatiibuuu)
Shauri hizi nilizisikia saluni miaka kadhaa nyuma wakati bado natumia nywele za bandia.
K' Matata.
Kasie nmependa maelezo yako!
Mwambie amwachie mtoto hausi gelo mkimaliza kuboresha kitengo akamchukue.
Kama unaishi nyumba kubwa nikimaanisha yenye vyumba zaidi ya viwili, basi kimoja kiweke kama stand by chumba cha mtoto kulala. Na huko ikifika mida ya saa mbili au tatu usiku mtoto akilala mnamlaza hapo halafu nyie mnaendelea na mistkasi zenu. Ukifika wasaa wa kubonjibo mnaingia chumbani kwenu mnafanya yenu ila baada ya gemu ya kwanza wewe baba una nyata kwenda kumchungulia mtoto, kisha mnaendelea hadi mtapochoka mnaoga mnatandika kitanda vizuri kisha mnamhamisha mtoto chumbani kwenu hadi asubuhi.
Ukitaka morning glory asubuhi kabla hujaenda kwenye shughuli zako mwendo ni huo huo....
Mkimzoesha hiyo ratiba atazoea ikifika mida hiyo atakuwa analala, japo wakati wote ni wakati wa chai, hata mchana nyie fanyeni yenu chumbani yeye mkiwa mmemlaza chumba kingine.
Tumieni hata mbinu za kizungu za kurekodi sauti zenu mkimsemesha na kumuita jina lake halafu muweke repeating tape kama wale wanaotangaza....
Sumu ya panya mende sisimizi kiroboto sumu ya panya, dawa ya mba fangasi mapele mapunye sumu ya panya....
Laah mama anaweza akalala ubavu, huku nyuma anakupa wewe ulengeshe mahala sahihi huku kwa mbele anamuweka mtoto kwenye titi anyonye. Sasa mikito ya baba inatakiwa iwe ya kijotii bonyeeee..... (yaani taaaratiibuu taraatiibuuu)
Shauri hizi nilizisikia saluni miaka kadhaa nyuma wakati bado natumia nywele za bandia.
K' Matata.
Sijawahi Kucheka kwa Mwaka huu ( 2019 ) kama nilivyocheka Kupitia hili ' Bandiko ' lako Mkuu. Kwa haya Maelezo yako yanayoonyesha na kuakisi pia Uzoefu wako wa Kutukuka naomba niseme tu Kwako kuwa ' Shikamoo ' mwana Mbobezi wa Mbinu za Kimahaba JamiiForums nzima.
Sawa Mkuu nakutakia mechi njema hapo kwenye uwanja mdogo 😁😁😁Kwanini wengi wao utakuta mkienda kulala na mkiwa mnalala nao Kitanda Kimoja utakuwa wanalala vizuri tu lakini pale ukitaka tu 'kumsuuza’ Mama yake haraka sana anaamka na anakuwa mbishi na mkorofi kulala hadi umfinye na umtishetishe kidogo hata kwa Kumtumbulia Macho ndipo anapata Usingizi wa Uwoga lakini ukianza tena Kujiandaa kwa tendo na ile ukitaka tu 'kuchomeka’ utaona wanaamka tena?
Ni Watoto tu wa Kizazi hiki au hata na Sisi pengine tulipokuwa Wachanga nasi tulikuwa hivi na pengine hata zaidi ya hawa wa sasa? Halafu ni kwanini hata kunapotokea Usumbufu utakuta Mama zao wanafurahia na wala hawakupi Ushirikiano wa Kutukuka wa Kuwalazimisha walale ili nanyi muweze Kuendelea na yenu?
Je, hapa huwa wanakuwa Mawakili wa Kujitegemea wa Mama zao au huwa wana Wivu tu labda wanajua unaweza ukasababisha Mama yake akapata Mimba nyingine ya haraka halafu na Yeye akawa hathaminiwi tena na akabaki mpweke tu?
Nitashukuru kwa majibu yenu hasa yakija kwa uwingi sasa hivi kabla ya Saa 6 Kamili Usiku huu ambapo nitakuwa naelekea Kitandani kwa kutoka hapa ( Log Out ) ikizingatiwa kwamba kameshalala hivi punde ila najua baadae nikitaka Kuianza ' Shughuli ' kataamka yaani utafikiri kanatumwa au labda Mama yake huwa anakaamsha kwa Makusudi.
Kuna muda huwa natamani hata nikapige tu ' Kwenzi ' ila huwa namuogopa Maulana / Mola wangu juu ya ' Malaika ' wake.
Hahahaha...!Kama unaishi nyumba kubwa nikimaanisha yenye vyumba zaidi ya viwili, basi kimoja kiweke kama stand by chumba cha mtoto kulala. Na huko ikifika mida ya saa mbili au tatu usiku mtoto akilala mnamlaza hapo halafu nyie mnaendelea na mistkasi zenu. Ukifika wasaa wa kubonjibo mnaingia chumbani kwenu mnafanya yenu ila baada ya gemu ya kwanza wewe baba una nyata kwenda kumchungulia mtoto, kisha mnaendelea hadi mtapochoka mnaoga mnatandika kitanda vizuri kisha mnamhamisha mtoto chumbani kwenu hadi asubuhi.
Ukitaka morning glory asubuhi kabla hujaenda kwenye shughuli zako mwendo ni huo huo....
Mkimzoesha hiyo ratiba atazoea ikifika mida hiyo atakuwa analala, japo wakati wote ni wakati wa chai, hata mchana nyie fanyeni yenu chumbani yeye mkiwa mmemlaza chumba kingine.
Tumieni hata mbinu za kizungu za kurekodi sauti zenu mkimsemesha na kumuita jina lake halafu muweke repeating tape kama wale wanaotangaza....
Sumu ya panya mende sisimizi kiroboto sumu ya panya, dawa ya mba fangasi mapele mapunye sumu ya panya....
Laah mama anaweza akalala ubavu, huku nyuma anakupa wewe ulengeshe mahala sahihi huku kwa mbele anamuweka mtoto kwenye titi anyonye. Sasa mikito ya baba inatakiwa iwe ya kijotii bonyeeee..... (yaani taaaratiibuu taraatiibuuu)
Shauri hizi nilizisikia saluni miaka kadhaa nyuma wakati bado natumia nywele za bandia.
K' Matata.
Kwani wasio wana Ndoa huwa hawapati Watoto Mkuu? Kwahiyo Watu wote wenye Watoto walikuletea Vyeti vyao vya Uthibitisho wa Ndoa zao?
Hahahaha...!
Shieeeeh