hawa watoto wa simba ni wa ajabu!

GAMBILA

Member
May 5, 2012
6
1
jamani hebu tuongee kuhusu hawa viongezi wetu wa kitanzania, vijana wa simba leo wameikung'uta mtibwa sugar 4_ 0,huku wakiinyesha soka la hali ya juu! Hivi kuna ulazima wa viongoz kama hawa kuendeleza ujuha wa kung'aninia wachezaji wa nje huku wakiacha vipaji kama hivi vikipotea!! Karibun tuzungumzie hili.
 
Ni 4-3 Mkuu siyo 4-0,
All in all nachelea kusema Watoto hawa hata wangekutana na Kaka zao(team ya wakubwa ya Simba) kipindi kile kabla haijaenda Arusha,Wa'Kaka wangelala hata goli 3....Madogo nimewakubali sana,lazima kwenye ukweli tuseme,Watani wana team nzuri sana ya Vijana,Mtaji mkubwa wa siku za mbeleni
 
Na Je ingekutana na Yanga ile iliyotoka Kanda ya ziwa au ile ya Mei 6,2012. Si mngekula dozen

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa vijana wamethibitisha umuhimuw la soka la vijana
 
Katika makombe ya Kuku,Mbuzi,Ngao Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Hivi lini utakuja kukubali kuwa Simba ina historia na bado itaendelea kuwa mbele yako ww?? Nenda kacheki ktk ranking za fifa kati ya simba n yanga nani yuko juu zaidi ya mwenzie?? Sio ubishi wa ktk vijiwe vya kawaha au sehemu za magazeti. Mpaka muda huu bado tuko juu yenu.. Last time we met umekula MKONO.. Muhimu ni kujipanga kurudisha hizo goli TANO angalau moja moja ktk michezo mitano ijayo WALAU kurudisha hali ya utulivu ya klabuni cz mpaka sasa kuna watu bado wana STRESS kila wakitaja SIMBA wanakumbuka kilichofanyika tarehe 6 Mei 2012 pale taifa..

Baelezeee...
 
Mie kusema kweli hili la timu za Tanzania kusajili wachezaji wa nje toka Kenya, Uganda, Congo, Burundi, Rwanda, Nigeria, Ghana na kwingineko linanikera sana maana linawazibia riziki wachezaji wa Kitanzania ambao wana vipaji vya hali ya juu. Ni tatizo ambalo kama halitashughulikiwa mapema basi linaweza kuwa tatizo kubwa sana siku za usoni.

Back
Top Bottom