Hawa watangazaji wa clouds fm wanapata wapi jeuri hii!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa watangazaji wa clouds fm wanapata wapi jeuri hii!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, Feb 7, 2011.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Hbr wana JF..

  Kwa kuwa hli ni jukwaa la kijamii, hvyo nadhani si vibaya kujadili swala lolote lihusiyo jamii yetu..

  Leo ktk kipnd cha X X L mtangazaji binti anayejiita Dj. Fatuma au Fety amemshambulia mwanamuziki Afande Sele kwa kumuita Simba anayepakatwa, Mvuta Bangi, mchafu (rasta zake) n.k.. Swala ninalojiuliza; hawa watangazaji wamekuwa wakilaumiwa mara kwa mara kwa tabia yao ya kutumia redio kuwatukana watu wengne au kushabikia jambo flani (kivibaya) lenye influence ktk jamii..

  Hawa watu wanapata wapi jeuri hii? Wanajiamini na nini, ili hali wanaowasikiliza na kuwaudh ni weng kuliko wanao'back up.. Wanashndana na jamii nzima..? Pia wanalipwa shling ngapi inayowafanya waji'risk maisha yao kwa kutukana watu ovyo.?

  My take; WAJIREKEBISHE TABIA ZAO, JAMII ITAWACHOKA.
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hwajui walitendalo
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nina waswas na taaluma za hao watangazaji,itakuwawliokotwa tu mtaani na kuanza kutangaza,mana ethics za utangazaji naamin haziruhusu mambo kama hayo-may be wana bifu zao,na yeye anatumia advantage ya ofisi yake,binafsi hio redio nilishaachaga kuisilikiza zaidi ya mwaka wa 3 sasa
   
 4. dorin

  dorin Senior Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna mkaka mmoja alikuja na sredi moja inamshambulia jozee kusaga(MMILIKI WA CHOMBO HUSIKA). Yaani alimwaga nondo sana mara akapotea Ghafla kabla hata YA kumaliza kutupatia Uhondo. hapo hapo tungepata source ya kiburi cha hawa wenzetu.
   
 5. S

  SUWI JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mi navyowajua hawa watangazaji majority hawana taaluma... ni kuongea tu kunawapa kazi hapo... Ndo maana wanaropoka hewani ovyo!!! mmiliki wa hii radio achukue hatua upesi.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa kipindi hiki ni hekima na busara kutosikiliza hiyo redio!
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kimsingi wale jamaa karibu wote ni form four, sasa unategemea productive ideas watatoa wapi, wao majungu majungu na wao, dawa kuwamwagia tindikali tu.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  acheni kujipa pressure za bure kuckiza clouds redio zimejaa chungu nzima bora usikize redio za dini uongeze maisha yako kuliko hizo redio za watangazaji vilaza.wanasheria wanawaita (hoi poloi)yaan kundi la watu wasio na elimu au ujuzi wakutosha kazi yao ni kuwatumikia wengine japo nao waweze kuishi.
   
 9. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Ila ndg zangu hawa wasajili wa radio na wadhbiti wa matangazo wapo wap kuichukulia hatua redio hii?! Na hawa jamaa wanalipwa kiasi gani (sory km nakosea suala lao la ubinafsi).. Inaniuma sana jins wanavyofanya.. Yani wanaamin wao ndo wako juu kuliko vijana wote wa mjini.. Shame on them!
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu washike uone hao wanahusika mojakwamoja na mkuu ikulu ni kama home! Na wameweka kwaajili ya kupima upepo!
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sababu ya jeuri yao ni pesa za mafisadi,wee angalia THT sherehe yao waliifanyia wapi?mlimani city mmliki wa zile kumbi na ofisi za pale ni nani?ukipata jibu ndio utajua hiyo jeuri wanaitoa wapi!
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hivi mnahangahika nini na hao jamaa
   
 13. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  nafkiri ktk radio zinzoongoza kwa kuwa na makanjanja ni clouds, imekuwa iktumia 'madei waka' kwa mda mrefu saana wengi wa watangazaji wake sio proffesion na pia elimu yao ni ya kuunga unga na wale ambao kidogo wana elimu hawana elimu ya uandishi wa habari. Sijajua sheria za vyombo vya habari vinasema nini kuhusu hili mwenye ufahamu juu ya hilo atujuze japo kidogo.
  Kwa nini wanaprefer unqualified personel? Hili swali linaweza likawa na jibu kati ya majibu ntakayoyaanisha hapo chini
  Ni wazi wamiliki wa chombo hichi cha habari wanajua kiwango cha elimu ya wafanyakazi wao na upeo wao na si ajabu wamefanya hivi purposely kwa sababu zifuatazo ambazo ndio zinaweza zikawa majibu ya swali hapo juu
  Mosi unqualified personel ni cheap labour kwa hiyo wanawaajiri ili kupunguza gharama za uendeshaji sifa zao ili mradi uwe unajua kubwabwaja
  Mbili wanatumia unqualified personel ili iwe rahisi kwa wao kuwatumia kwa manufaa ya wachache bila wao kuhoji ni kwa nini wafanye hivo ni rahisi kumfanya kilaza kuwa kasuku than msomi au mwelewa mwenye uwezo wa kuquestion
  Tatu wanaweza wakawa wanatumia unqualified personel kwa sababu labda ajira zinatolewa kindugu,kirafiki au kwa njia ya chupi. Kutokana na mashairi ya nyimbo zilizoko ktk albamu ya auntvirus mixtape wameshutumu kuwa redio ya clouds inatumika kwa umalaya na watoto wa kike humegwa na kupewa ajira na waliwataja baadhi ya watangazaji hao
  waheshimwa wana JF ktk kuchangia hoja ya aliyepost hii mada kuwa watangazaji wana back up ya nani ninachangia kama ifuatavyo
  Kwa wale wamiliki wana urafiki,uswaiba na ikulu thats why kama mara 2 hv nilimsikia JK akiruka live kupitia line ya simu ktk kipindi cha power breakfast moja ilikuwa ni siku ya bethdei ya JK, pia JK alishawah kusema kipindi flan ktk mahojiano na bbc idhaa ya kiswaz kuwa anasikiliza bongo fleva na new release huwa anazipata kwa ruge which means kuna connection kati yao, ila kuhusu hawa makanjanja wengine hamna kitu ni ulimbukeni na kujiona wako matawi kumbe hamna kitu ngoja wawe bench utawaona na hili linachangiwa na upeo mdogo, coz bosi wao yuko juu na wao kujiona hivyo kwa kifupi wako brainwashed.
  Watangazaji hawa wana sapoti ya masharobaro na baadhi ya wasanii njaa wasio na upeo wanoutumia fleva kufikiri na wala sio ubongo wamekuwa na beef na watu kama sugu, g solo kikosi na wengine wengi ambao ni wanaharakati. Wana kashfa ya ushoga hasa hao vijana wa xxl though pia hta baadhi ya wengine ktk vipindi vingine wamekuwa included ktk hizo tetesi, pia wamekuwa wakiomba hela kwa wasanii ili wapige nyimbo zao kwa hili nina proof.
  Haya ni mawazo yangu binafsi kuhusu hiki kituo aka Radio ya waaaafu.
   
 14. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  AFANDE NA MR NI MARAFIKI,NA CLOUDS WANA BIFU NA SUGU SO A FRIEND OF MY ENEMY IS MY ENEMY TOOO,
  kama WW1


  WOTE PALE WANAGAWA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI
   
 15. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Dah!... Kumbe suala hili limetugusa wengi!?... Kati ya redio zenye watangazaji wanaoropoka hii inaongoza.... Ukianza na Kibonde pamoja na dadaze wanaochekagachekaga tuuu!... Kisha wanafuatia vichaa wa xxl!...
   
Loading...