Wiki kama mbili zilizopita niliwasikia kwenye Planet Bongo ya Dullah EA Radio (Heshima Ya Bongo Flava) walikuja kutambulisha ngoma yao mpya, wakasema waligombana kipindi kile cha Bongo.com member wawili wakajitoa kwenye squad tena ni wale walioimba Bongo.Com
Sent using
Jamii Forums mobile app