Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
huyu nae alifuata nini huko?
Kiherehere cha kupigapiga picha.. Wanajifanya wanajua Sana.. Acha aliwe tu Maana Hamna namna sasahuyu nae alifuata nini huko?
daah ile video barna?! nikawa nawaza kwamba kundi lote lile hamna mwenye bunduki ampige risasi?daahKuna ile video jamaa analiwa na chui daaah ilinitoa chozi
Tatizo shabaha...kuna jamaa alikua anapiga zinaishia pembeni hadi risasi zikaishadaah ile video barna?! nikawa nawaza kwamba kundi lote lile hamna mwenye bunduki ampige risasi?daah
Simba hawali mzoga na hivi kajifanya amekufa watamgusa gusa kwa mabapa yao mwishoni watamuacha na kwenda zao.
duuh,hatari sanaTatizo shabaha...kuna jamaa alikua anapiga zinaishia pembeni hadi risasi zikaisha
Wewe nawe samba ndiyo nini?Mie nimeshuhudia samba wakila mizoga. Tuliweka swala wetu chini ya mti baada ya kuwinda mchana kutwa lakini haikupita hata saa moja wakaja samba wawili wakaleta usumbufu wa kutosha hadi wakaondoka na swala wetu wawili pia