Wasalamu
Jamani hili gonjwa kila siku nataka dawa lakini hola.
Nimekaa na kuwazua nikaona hawa wanawezakuwa wanafaidi huu ugonjwa(mapenzi)
Ambao sio attention seeker, hawa wanaweza wakafaidi penzi maana wanafanya kilichopo ndani ya uwezo wao na si kuangalia wapenzi au mpenzi wake atasemaje. wanafanya coz of love.
Wasiopenda kuoneshwa kwamba wanapendwa, mfano unakuta jamaa au demu kakomaa kumuuliza mpenzi wake et unanipenda kweli? . Huyu huwa analazimisha kuona kama anapendwa kiukweli huyu ataishi sana maisha ya ndoto. Sasa kwa mtu amabaye anakaa na kubaini mwenyewe kama anapendwa kiukweli mfano wake ni kama mtu ambaye amepata swali la jibu kwa kwenda library so anakuwa anajua what ameandika.
Asiyeshirikisha sana akili hasa ya logic kwenye mapenzi, hili ni suala sugu sana ktk mapenzi mfano mpenzi wako anafanya jambo yy anaona dogoo sa ww unakomaa na li phD lako kulogic et kwann hajapokea simu au y iko busy ukaanza kuweka majunguu ww mwiso wake lazima tukuzike na mapenzi utuachie sie.
Ni vigumu kuapply maana akili zetu zimeaminishwa kwamba mapenzi ndo kila kitu
NB Unaweza kuishi hivi endapo tu tairuhusu akili yako ifanye maamuzi ikiwa free na isiyoongozwa na majungu, hisia za kuonewaa tu kwenye mapenzi, akili ambayo haikai na pre judgement