social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,104
- 1,262
Inasikitisha mke/mchumba kuulizwa kama kanyoa mavus na MTU mwinge kisha ukashuhudia!Kasema ashapanua? Mmh ndo ulikuwa unataka kuoa hapo? Dah pole ndugu..lakini hapo hao wote wanaonekana ni washe..i hata huyo mwanaume pia, umeona hapo aomba nini? Dah pole tena...so mpaka unaiona hiyo meseji alikuwa ameshaenda huko kwa huyo firari? Au alikuwa ndio anarudi?...ndugu piga moyo konde hii dunia ina mengi watu wanayofanya sirini..shukuru umefahamu mapema
Inasikitisha mke/mchumba kuulizwa kama kanyoa mavus na MTU mwinge kisha ukashuhudia!
Hajazoea mambo hayo...kama tulivyo mimi na wewe...Pole mkuu
Kuzoea nini??? Maisha kusaidiana atulie tuHajazoea mambo hayo...kama tulivyo mimi na wewe...
hajazoea kusaidiwa....atulie tuu hamu ikiisha atarudi sio mijitu mingine eti hadi bastola inashika...unaua halafu unaozea jela...kisa papuchii...Kuzoea nini??? Maisha kusaidiana atulie tu