Hawa wanawaake hawa

Mi nilikuwa bwana ake Ila tulipotezana Tu no free lunch Mzee unataka Raha ni gharama Lete shekeli ukajilie mtoto hakika hutojutia
Nitumie picha nione tunasettle vipi hii deal
 
Acha wenge sasa. Hebu picha
Picha hapana siwezi kutuma picha ya mtoto WA watu humu pengne kuna ndugu yake au bwana zake kama Mimi hapana hata pm sikutumii Ila tambua mtoto ni kisu hasa rangi ya Mtume umbo la kimiss tako lipo. Ni mrembo hasa nadhan khs urembo watoto WA singida Kila mtu anawajua
 
Sasa nitakupaje pesa kama picha hutaki kunionyesha
 
Mzee huyo ndo umepatiwa kama ubavu wako.

Utafanya jinai kumuacha, ingawa haujaomba ushauri
 
Kwani mahubiri ya wahamasishaji si ni kuwa single mother tu ndo wasaliti?
 
Ufundi wa makahaba ndo unaowafanya waolewe na matajiri ....maana % kubwa wenyenazo hupenda nunua mbususu,,kuoa hawataki,mpaka wakolezwe ndo huweka kitu ndan
Huyo Mleta mada nae! kimeo tu!! mtu km ana mbususu kali, na anajua mambo sura inalipa kanene kidogo!! kiuon mbinuko! kaguu ka-wastani, kanajua kucheka . ka umri kake nakapita kidogo, kademu kana nyota ya mafanikio!

kwa nini nimuache kitu tamuu!!! nikateseke na moyo wanguuuu huko porini??? wajameni Manaume mengine sijui yamerogwaaa!! Kabisa Dume zima unakaza mavidole eti unamlaumu wa hivikweli???

Yaani unge kuwa mdogo wangu ningekukataa tena nakupiga mpaka ukome! na kufukuza kwangu marufuku kukanyaga home!! unaogopa vidume vyenzio vinakunyang'anya kabisaaa Mbususu unakuja kulia lia humu!

Jiulize hao wao wana nini na wewe una nini unacho shindwaga kumfanyia huyo binti ...kwanini usimpiganie huyo bINTI ili wakuogope mtaani???pigana mpaka ufe ajili ya Mapenzi!

Hao wanao mpenda ni kwa ajili ya uzuri/utamuuu/afya/maneno mazuri wake...ajabu weye unakimbia wkt mtu kesha kupa Tumbua?? wewe mleta mada sema unaumwa tu bana!... kamwe hkn mtu asiye taka kitu kizuri!

Hata uoe chawi/jamabazi/ jizi/likichaa yapo mavichaa menzao yatalikula tu!...kaza buti linda Mali mpaka afike mahali aseme wewe ni mwanaume kweli sijawahi ona!! huyohuyo taatibu anabadirika!!

ataanza mwenyewe kukupa popote hata kwenye mti anashikilia shamabani twende! jikoni km kazi...au to yeye unasemaje Best!! mpe somo kijana wa kuja huyu!!
 
🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮
 
Hivi jamani kuna ambaye amewahi kuoa mnyaturu na ndoa ikadumu kabisa?hata miaka 6 tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…