Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 4,025 Reaction score 12,762 Jun 3, 2026 #1 He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵
He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,345 Reaction score 6,863 Jun 3, 2026 #2 Aisee
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,881 Reaction score 60,912 Jun 3, 2026 #3 Ccm ni kama maji msipoyanywa mtayaoga..so ccm wanawachezea upinzani jinsi wanavyotaka jinsi wanavyokuja wanapokelewa hivyohivyo
Ccm ni kama maji msipoyanywa mtayaoga..so ccm wanawachezea upinzani jinsi wanavyotaka jinsi wanavyokuja wanapokelewa hivyohivyo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,170 Reaction score 866,416 Jun 3, 2026 #4 Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1Byi1id9GH/
Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1Byi1id9GH/
Kipondo Cha ugoko JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 1,362 Reaction score 2,565 Jun 3, 2026 #5 Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... Huwawezi kutengeneza kiki inayohatarisha usalamu wa taifa tumia akili na wewe
Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... Huwawezi kutengeneza kiki inayohatarisha usalamu wa taifa tumia akili na wewe
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,969 Reaction score 24,868 Jun 3, 2026 #6 Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... Wanzanzibari wanamwaga unga wao sasa.
Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... Wanzanzibari wanamwaga unga wao sasa.
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,126 Reaction score 22,035 Jun 3, 2026 #7 Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... ndege JOHN said: Ccm ni kama maji msipoyanywa mtayaoga..so ccm wanawachezea upinzani jinsi wanavyotaka jinsi wanavyokuja wanapokelewa hivyohivyo Click to expand... ULWELI NI KWAMBA VITA YA URAISI.CCM NI.KUBWA SANA . ACHENI KULAINISHA MANENO
Expensive life said: He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵 View attachment 3600294 Click to expand... ndege JOHN said: Ccm ni kama maji msipoyanywa mtayaoga..so ccm wanawachezea upinzani jinsi wanavyotaka jinsi wanavyokuja wanapokelewa hivyohivyo Click to expand... ULWELI NI KWAMBA VITA YA URAISI.CCM NI.KUBWA SANA . ACHENI KULAINISHA MANENO
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,750 Reaction score 37,397 Jun 3, 2026 #8 Leo utasikia wameitwa waandishi wa habari kufafanua kauli ya mbunge kuwa inapotoshwa alikuwa anasemwa mpinzani
Leo utasikia wameitwa waandishi wa habari kufafanua kauli ya mbunge kuwa inapotoshwa alikuwa anasemwa mpinzani
H Haleluya Amina Member Joined Mar 30, 2026 Posts 17 Reaction score 27 Jun 3, 2026 #9 Naamini Vita vyao ni kweli. Ukisema ni drama unakuwa Kama mtu anaemsikia ndugu yake analalamika maumivu halafu anasema anaigiza tu. But ni wao wenyewe ccm wammetufikisha hapa.
Naamini Vita vyao ni kweli. Ukisema ni drama unakuwa Kama mtu anaemsikia ndugu yake analalamika maumivu halafu anasema anaigiza tu. But ni wao wenyewe ccm wammetufikisha hapa.