Hawa wanatafuta nin??? Ngoja wenyew waje

Ni watoto wa brigedia mmoja, hapo ni Tabora kama sikosei
 
Usikojoe hapa! Huwa nacheka sana witikio wa tangazo hili maarufu.
 
Kwa hiyo kama ni watoto wa brigedia kwao ni ruksa sio acha dhana ya kuvunja sheria kisa babaako flani labda wanakibali hao madogo ama hawajui kusoma.
 
Hawa jamaa hawafai hata kidogo niliingia kambini na gari aisee niliaamrishwa nirudi kwa rivasi mpaka barabara kuu sitasahau hilo tukio
 
Reactions: MC7
Hawa ni wanafunzi waliomaliza form 6 na wameenda jeshi ile ya hiari miezi 3. Kurutaz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…