Siku ya ijumaa nilinunua umeme kwa njia ya simu kwa kubonyeza *150*78# umeme ulikuwa wa shilingi laki moja, nilipata bahati ya kupata SMS kuwa kuna tatizo la mtandao hivyo nitatumiwa tokeni kwenye namba ya simu ya mkononi.
Leo ni siku ya nne sijapata tokeni zangu nimejitahidi kuwapigia vodacom ambao ndio walinitumia SMS kuwa ninaweza kufanya manunuzi ya luku kupitia namba hiyo , vodacom wamekuwa wakinieleza kuwa niwasiliane na hao mula kupitia namba 0755400006 namba hii ukiipiga inaita tu na Mara nyingine inazimwa nimewapigia siku mbili mfulilizo asubuhi hadi usiku lakini hakuna response,
Je vodacom na hao wanaojiita mula wamenitapeli fedha zangu? Na kama wamenitapeli ni njia gani nifuate niweze kupata fedha zangu? Mwenye uelewa wa jambo hili tafadhali anijuze .
Sent using Jamii Forums mobile app