Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Wewe ni kilaza huelewi yanayoendelea kule. Yaliyotokea Oktoba ni mwendelezo wa miaka 75 ya mateso makubwa ya wanachi wa Palestina. Rejea hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutierez kuhusu huu mgogoro uliolipuka hivi karibuni.
SAWA MIMI KILAZA,,,,ILA WEWE NI MNAFIKI WA HISTORIA NA UNA CHUKI ZA KIDINI...
JE MIAKA 3000 YA WAYAHUDI KUTOLEWA KATIKA ARDHI ZA MABABU ZAO NA WAAJEMI NA WARUMI NA WAARABU NA WATURUKI HUYO KATIBU MKUU KAZUNGUMZIA????
 
Waarabu wanaujua mziki wa wayahudi ndio maana wanawaogopa....
Na wanawaonea wivu maendeleo yao ya kiuchumi na kimiundo mbinu.... hasa maswala ya kujenga mji
Hivi Israel ina maendeleo kuliko Qatar, Dubai, Saudi Arabia na hata Iran? Bila msaada wa kiuchumi na kisilaha kutoka Marekani na washirika wake Israel si lolote. Wana muziki gani hao Wayahudi wakati Gaza kitongoji kidogo tu kama Manzese miezi mitatu sasa wameshindwa kuwakamata viongozi wa HAMAS na wameshindwa kukomboa mateka hata mmoja!
 
Mungu alikuwa na kusudi kubwa sana kwamba USA ndio awe super power wa dunia!

Imagine miislamu ndio ingekuwa supa pawa kama USA?

Tungokoma walahi
Hapo crimea ,,,mrusi kawanyosha kweli wale wenye asili za uturuki na chechen
 
Mkuu kwa ukubwa wa eneo za mraba Israel ina maendeleo kuliko asilimia 75 ya nchi za waarabu......
Ondoa Kuwait na Qatar na Saudia na UAE na Bahrain na Oman.....nchi gani nyingine yenye mji na miundombinu bora kuzidi wayahudi....
Anzia Sanaa mpaka Baghdad mpaka Beirut????
 
Tatizo la waislamu mlitaka IDF wapigane mnavyotaka nyinyi mkiwa mnapiga story miskitini...UNAONA ULIVYO NA UKOSEFU WA AKILI NA UJINGA KWA UKUBWA WA GAZA KUUFANANISHA NA MANZESE 🤣🤣😂😂
Hilo haliwezekani na wanaendelea kutoa dozi wanavyotaka wao pale Gaza.......
 
SAWA MIMI KILAZA,,,,ILA WEWE NI MNAFIKI WA HISTORIA NA UNA CHUKI ZA KIDINI...
JE MIAKA 3000 YA WAYAHUDI KUTOLEWA KATIKA ARDHI ZA MABABU ZAO NA WAAJEMI NA WARUMI NA WAARABU NA WATURUKI HUYO KATIBU MKUU KAZUNGUMZIA????
Unazidi kudhihirisha ukilaza wako hapa. Waajemi gani waliwatoa Wayahudi kwenye ardhi zao? Kila mahali walipoishi Wayahudi walichukiwa na wenyeji kutokana na tabia zao za kudhulumu na kunyanyasa watu huku wakishiriki kwenye miamala ya riba. Dunia nzima yote walichukiwa kwa udhalimu wao. Ulaya yote kulikuwa na persecution against Jews jiulize kwanini ilhali Ulaya yote ni Wakristo? Hitler hakuwa Muislam nenda kasome kitabu chake Main Kempf ufahamu anavyowazungumzia Wayahudi. Nyie vilaza huku ndio mnawaunga mkono mkidhani ni wenzenu ilhali wale ndio walimsulubu Yesu na kumkana. Hakuna Yahudi aliye Mkristo tambua hilo.
 
Wewe ni kilaza kuendelea kukujibu ni kupoteza muda. Kajibizane na vilaza wenzako.
 
TATIZO HUJUI HISTORIA NA HATA WAAJEMI NA WAARABU NA WATURUKI NA WARUMI WATAKUSHANGAA...
NDIO MAANA NIKASEMA WAISLAMU NA WAARABU NI WANAFIKI LINAPOKUJA SUALA LA HISTORIA YA MASHARIKI YA KATI.
 
Mungu ana mambo mengi makubwa na yanayotisha, hawezi kuitikia wito wako mwepesi kiasi hicho.

Hana cha kupoteza.
 
UNALETA STORY ZA KUTUNGA ZA MUHAMMAD NA MUNGU WAKE WA KIARABU.....
LAKINI WAYAHUDI WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO KWENYE ARDHI ZA MABABU ZAO...
WAISLAMU NA WAARABU MPENDE MSIPENDE...
NA MKITAKA VITA WANAWAPA DOZI NENE
 
Nyayo house
 
Kama vile nchi moja wapo ya mashariki ya Kati (Syria labda)....

Unyama huu.
 
Wahutu Wana roho mbaya

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Sio Wahutu wote kuna Wahutu waliowasalimisha ndugu zao Watutsi wakati wa Mauaji yaliyokuwa yakifanywa na INTERAHAMWE chini ya amri ya Serikali na kwa msaada wa Majeshi.

Kumbuka sisi sote ni Watoto wa MAMA AFRIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…