Wote wasiopendezwa na juhudi za Rai
Na wale wote wanaotaka kwa namna moja au nyingine turudi Katika zama zile ambao;
Wizi, Rushwa, ubadhirifu ulikua ni sehemu ya maisha ya mtumishi wa uma.
Dhuluma na uonevu kwa wasiokua nacho toka kwa waliokua nacho.
Wale wote wanaotaka turudi Katika mfumo wa kuhakikisha fedha za miradi ya Serikali zinakwenda kujenga mahekalu ya wezi.
Bila Shaka anayepingana na jitihada za kuwakwamua wengi, ni sehemu ya wanyonyaji na kwa namna moja ama nyingine alinufaika na mfumo huo haramu.
Mnatukosea; mkatubu.