Hawa wamefichwa wapi?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Ni kwa nia njema tu nauliza hili maana udadisi ni haiba ya mtu. Rwanda tunaambiwa karibu asilimia 80 ni wahutu. Watutsi ni kama 15 hivi. Lakini sasa kila nikiona mtu au kusikia mtu toka Rwanda ana asili ya kitustsi. Iwe waimbaji, askari, wanadiplomasia, wachezaji, raia wa kawaida, etc. Hawa asilimia 80 huwa wako wapi na wanafanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakumbuka nilipokuwa form two miaka ile, nilisoma mambo ya feudal relations in Africa. Kulikuwa na aina mbalimbali mfano Umwinyi, Unyarubanja, utemi, na Ubugabire ambao ulifanyika maeneo ya Rwanda, Burundi na Buha(sijui iko wapi hii)

Huko Rwanda, Burundi na Buha; Watusi walifahamika kama SEBUJA! hawa walimiliki utajiri wa mifugo na hivyo vibarua wao walio wasaidia ni hao Wahutu(Bagabire) ambao walifanya hiyo kazi ya uchungaji na kuishia kupewa ndama kama malipo yao. Maana yake ni kwamba tangu enzi na enzi Watusi wachache walijiona/wanajiona superior mbele ya watumwa wao Wahutu na hadi sasa ndiyo maana wanasikika wao zao ingawa ni wachache.

Nilisikia tetesi hata yale mauaji ya kimbari ya 1994, moja ya sababu ilikuwa ni ya Watusi kukakataa kutawaliwa na rais Mhutu na hivyo wakiongozwa na PK, wakaidungua ndege ya rais. The Tutsi consider themselves superior towards the inferior Hutu. Wengine watajazia zaidi.
 
Na hii hali ndio ilipelekea 1994 Genocide, wahutu walivumilia wakashindwa, naona wanarudia tena makosa. Ila aliekuzidi maarifa kakuzidi tu, hata wawe wawili
 
Mkuu yaani White Colour Job ni Watutsi na Zile Black Colour Jobs ni Wahutu hawa viumbe its a matter of tym kwa suala la Kuuuana. Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…