Sure mkuu kuna mtu humu juzi kaandika aliweka ela kutuma kwa ajili ya maandalizi ya msiba network ikazingua ikala kwake
Hii mitandao yetu siyo ya kuamini ela inayokufaa ni fiat money tu aiseeKuna siku nilikua nakunywa pombe mida ya mchana,,defenda likaibuka maeneo yale wakanibeba nikachonga nao fresh niwapooze 20 la chap chap,pesa ipo m pesa napokunywa pana wakala kila nikibonyeza menu ya m pesa ina fail zaid ya mara tano...jamaa wakasema wewe huna pesa unacheza na sis twende kituon,bahati nzuri wakala ananijua akanidhamini 20 pale nikawapa wakasepa,baada ya masaa matatu ndio ikakubali
Walikuibia shi ngapi mkuuHela yangu naweka bank na kwny pu.mbu. Toka niibiwe salio kwny mitandao ya simu mwaka juzi siweki tena pesa huko
Umenchekesha sana, hahaha mimi kuna viejisent vidogo vidogo navitupigiaga huko M-pawa ili ikija timia muda flani vinakuwa vimeshatimia ela ya kufanyia kitu flani ambacho uwa lazima kifanyika kila miezi 2-3Hela yangu naweka bank na kwny pu.mbu. Toka niibiwe salio kwny mitandao ya simu mwaka juzi siweki tena pesa huko
Sema tu ya kwenda kupata utamu kwenye uwanja wa fundi seremala.!!Umenchekesha sana, hahaha mimi kuna viejisent vidogo vidogo navitupigiaga huko M-pawa ili ikija timia muda flani vinakuwa vimeshatimia ela ya kufanyia kitu flani ambacho uwa lazima kifanyika kila miezi 2-3
Walikuibia shi ngapi mkuu
Duuu pole sana mkuuLaki 4 na 75
Duuu pole sana mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]Aisee...kweli siku ya nyani kufaKuna siku nilikua nakunywa pombe mida ya mchana,,defenda likaibuka maeneo yale wakanibeba nikachonga nao fresh niwapooze 20 la chap chap,pesa ipo m pesa napokunywa pana wakala kila nikibonyeza menu ya m pesa ina fail zaid ya mara tano...jamaa wakasema wewe huna pesa unacheza na sis twende kituon,bahati nzuri wakala ananijua akanidhamini 20 pale nikawapa wakasepa,baada ya masaa matatu ndio ikakubali
Duuh[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji22][emoji22]Laki 4 na 75