Nashukuru maana kimeo changu kimeshindwa kunionesha hayo maandishiWell kwa wale raia wanyonge hii habari inamaamisha kwamba Vodacom wataanza kukata Tsh 600 kwa akaunti za Mpesa ambazo hazitakuwa zimepokea/kutoa pesa kwa siku 150 mfululizo.
Nawasilisha.
Ni kenya si TzWakuu Someni Hili Tangazo La Vodacom Mm sijalielewa Hata KidogoView attachment 1029410
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao kwa inactive account tu.bank account si unailipia kila mweiz, basi nao wameanza wizi huo!
Mahakamani utashindwa na kulipa gharama zote za kesi. Siku hizi Mahakama ni play ground of the rich kama Vodacom.Kuwatoza watu eti kwa kuwa hawaja consume product yao ni upumbavu wakinifanyia hivyo kwenye line yangu tutaonana mahakamani, wajaribu waone!
It is more or less a bank account! Handling your money/money transanctions.... keeping you M-pesa account safe.... these are services rendered to you!Kwani hii ni bank account?
Alafu kama sihitaji huduma ya mpesa,ni lazima niwe nayo?
Watu hawanunui laini za simu kwa ajili ya mobile money services, ni kwa ajili ha mawasiliano, hayo mengine ni ziada na mtu ana haki ya kuikataa.
Hili halikubaliki.
Ukiona hadi wanatangaza hv jua wana baraka zote toka mamlaka husika.Wakuu Someni Hili Tangazo La Vodacom Mm sijalielewa Hata KidogoView attachment 1029410
Sent using Jamii Forums mobile app