Hawa viongozi wetu wanayo nia ya kweli?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa viongozi wetu wanayo nia ya kweli??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Dec 28, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mimi nashindwa kuele ka viongozi wetu wanakuwa na nia yakweli kuhusu hii nchi?kwani mbona kama wanaichukuliakama siyo nchi yao na wala siyo wajibu wao kutumikia wananchi??Kwani nivitu vingi vinafanyika lakini wenye dhamana wanatizama na awasemi kitu chochote,kweli serikali ilikuwa haijui kuvunja mkataba na dowans,lingeleta tatizo??jr mwanasheria waserikali nini jukumu lake??je mikataba mibovu inaingiwa na nani na mwanasheria anakuwa wapi??au afai kuwa kwenye nafasi hiyo??
   
 2. m

  maarufu Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka kugusa mambo ya kikubwa weeeewe koma kabisa.

  Mikataba inaingiwa na cabinet zima kwa kushauriana hivyo wote ni mafisadi na wezi watupu mkuu wa cabinet naye huwepo kuongoza vikao kwa hiyo nae ni .....
   
Loading...