Hawa viongozi ni janga la kitaifa

Hawa viongozi ni janga la kitaifa

lonesome

Senior Member
Joined
Oct 10, 2010
Posts
195
Reaction score
66
HAWA VIONGOZI NI JANGA LA KITAIFA
MH Waziri Mkuu ni mmojawapo kati ya Viongozi ambao ni JANGA LA KITAIFA AKIWEPO NA KIONGOZI MWINGINE MKUU. Mh Pinda amekuwa Waziri mkuu aisye na meno, asiye na msimamo aliyepoa ni kama mbwa koko asiyeweza kuuma ashakum si matusi. huyu waziri mkuu amekuwa mara nyingi akidanganya au kudanganywa na tumekuwa mara nyingi tukishuhudia akiambiwa maneno hayo Bungeni,lakini ni waziri mkuu huyu huyu liyesema liwalo na liwe na kweli lilikuwa maana Dr Ulimboka alipatwa na Janga hilo. Ni wazir Mkuu huyu ambaye yupo yupo tu mi hata sion anachofanya kwa maslahi ya watanzania ambao alipoanza alijinadi kwao kuwa yeye ni mtoto wa Mkulima. sasa watu wengi wanaweza kusema ukulima wake ni upi? Watanzania mliangalia ukulima wa sura? Huyu waziri Mkuu amekuwa na Vijembe na maneno ambayo kwa yeye mtu wa Rukwa ni aibu sana angalau watu wa pwani tungesema ni utamaduni wa0.
Mama A. Makinda pia ni moja ya majanga yaliyoikumba taifa hili, mama huyu ambaye nlidhan kwa yeye kuwa mama angewachukulia wabunge wengi kama watoto wake na hasa sisi wananchi.lakini naye ameajiambatisha na tabaka tawala lenye kukandamiza demokrasia na haki za wananchi. naye kama alivyo na roho yake ipo hivyo hivyo. mekuwa akiwakandamiza wabunge wapinzani na wale wasionekana kuendeshwa na maslahi binafsi.
Kuna wabunge wengi pia ni majanga akiwepo lusinde, komba,nchemba na hata huyu aliyekuwa mtangazaj akaenda kupewa zawadi ya ubunge. haya majanga watanzania mliyataka wenyewe toka mwaka 2005. na sasa tuna miaka 10 ya majanga.
Nchi hii inaongozwa na Janga kuwa la kimataifa sijui tutaponea wapi sisi. najua kuna kung'olewa meno na kucha lakini mimi ntasema ukweli tu pasipo hofu. acha watung'oe meno na kucha na kutuua lakini hatutonyamaza.HAYA NI MAJANGA

"MOJA KATI YA UHAINI MKUBWA NI KUONA NA KUNYAMAZIA MAOVU YANAPOTENDEKA"
 
HAWA VIONGOZI NI JANGA LA KITAIFA

  • MH Waziri Mkuu a.k.a. mtoto wa Mkulima.
  • Mama A. Makinda
  • lusinde,
  • komba,
  • nchemba
  • na hata huyu aliyekuwa mtangazaj akaenda kupewa zawadi ya ubunge. haya majanga watanzania mliyataka wenyewe toka mwaka 2005.
na sasa tuna miaka 10 ya majanga.
najua kuna kung'olewa meno na kucha lakini mimi ntasema ukweli tu pasipo hofu. acha watung'oe meno na kucha na kutuua lakini hatutonyamaza.

HAYA NI MAJANGA

"MOJA KATI YA UHAINI MKUBWA NI KUONA NA KUNYAMAZIA MAOVU YANAPOTENDEKA"


  • Nkamia
  • Shekifu
  • Stela Manyanya
 
Back
Top Bottom