Hawa Tigo wataacha lini huu upumbavu

Hawa Tigo wataacha lini huu upumbavu

Bakeza

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
352
Reaction score
201
Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee. Pasipo kumpigia mtu yeyote tena leo naangalia salio nakuta sh 6.0 na sijajiunga na promotion yoyote mana hata wakinitumia masms yao huwa siyasomi nadelete juu kwa juu. Hv hii kero itaisha lini mana kwa hakika wanenikwaza na nimewatukana matusi magumu ambayo hata kuandika siwez. Jaman nisaidien nifanyeje mana hata hao customer care wao hata uwatafute siku nzima unaweza usiwapate.
 
Duh, umenishtua ikabid fasta niangalie salio langu!!! kifupi hii mitandao ya simu hapa TZ mostly huwa wana hako kamchezo, voda wameshwahi kukata hela zangu kama mara 4 hivi, nkawafuata pale vodashop ohio, kumwambia tu kastama kea akajib 'hujaangalia vzr matumiz yako, mtambo hauwez kukosea' me nkamwambia fungua database ya account yangu tuangalie ze whole week matumizi yangu yalikuwaje, baada ya kufuatilia kila call na its duration + msgs mwenyew akakiri wameniibia, eti 'tech prob'!! Cha kuchekesha nkaambiwa kurudishiwa hiyo hela ni suala gumu kabisaaaaaa!!!
 
Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee. Pasipo kumpigia mtu yeyote tena leo naangalia salio nakuta sh 6.0 na sijajiunga na promotion yoyote mana hata wakinitumia masms yao huwa siyasomi nadelete juu kwa juu. Hv hii kero itaisha lini mana kwa hakika wanenikwaza na nimewatukana matusi magumu ambayo hata kuandika siwez. Jaman nisaidien nifanyeje mana hata hao customer care wao hata uwatafute siku nzima unaweza usiwapate.

Mkuu mindao mingine siipo wala usipate taabu
 
Kuna kipindi niliona uzi hapa jf wa kuigomea Tigo. We bado unatumia huu mtandao wa kijinga.
 
airtel mambo yapo nao ni wezi tu ila wizi wao wana unafuu ukishindwa kabisa acha kutumia simu
 
Ifike mahali TIGO wajirekebishe.....tatizo kama hilo mimi lililshanikumba nikakimbia,thou kukimbia tatizo sio kutatua tatizo ila kero zikizidi bora ukimbie tu as shifting cost is almost zero
 
Ndo zao hawa mashetani!
Sio wewe peke yako ndugu!
 
hawa jamaa wanaudhi sana..juzi wamenikata buku tano kwa style hiyo hiyo halafu ukiwapigia customer care unakatwa hela ila hawapokei...
 
Hawa Tigo ni majizi wakubwa juzi wamenikata 1132 bilasababu,Tigo ni vibaka.
 
Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee. Pasipo kumpigia mtu yeyote tena leo naangalia salio nakuta sh 6.0 na sijajiunga na promotion yoyote mana hata wakinitumia masms yao huwa siyasomi nadelete juu kwa juu. Hv hii kero itaisha lini mana kwa hakika wanenikwaza na nimewatukana matusi magumu ambayo hata kuandika siwez. Jaman nisaidien nifanyeje mana hata hao customer care wao hata uwatafute siku nzima unaweza usiwapate.

Ndugu yangu Bakeza,hamia Airtel!mtandao wa ukweli,tigo vibaka namba moja!
 
Mimi nilienda headoffice na barua kutoka kwa lawyer wangu kwamba sitaki msg ya promotion yoyote hadi niwandikie barua rasmi sijaona tena hayo sms..fanya hivyo haraka..
 
if u cant change them quit!!!!!
mnaniudhi sana wtu wa masoko wavivu wakufikiri. mnatukanana kila kukicha.....
MODS, futa hizi thread za kishenzi.
wasipoteze muda wa watu.
alaaah!!!!
 
Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee. Pasipo kumpigia mtu yeyote tena leo naangalia salio nakuta sh 6.0 na sijajiunga na promotion yoyote mana hata wakinitumia masms yao huwa siyasomi nadelete juu kwa juu. Hv hii kero itaisha lini mana kwa hakika wanenikwaza na nimewatukana matusi magumu ambayo hata kuandika siwez. Jaman nisaidien nifanyeje mana hata hao customer care wao hata uwatafute siku nzima unaweza usiwapate.
mkuu je simu yako hukuacha ON application yoyote inayotumia internet? kuna updates huwa zinaendelea automatic bila wewe kujua na kutumia pesa yako.mfano ni computer updates zikiwa on downloads huendelea as long as ur are connected to the internet
 
Nimekuwa mteja wa tgo tokea 2004 nikiwa madarasani ila mara hii kwa mara ya kwanza nimehamia airtel,wewe unakaa tgo umefungwa minyororo mkuu?

Kimbia...inuka kimbia fasta,kimbia...heeeey,kimbia mkuu tgo imekwisha.
 
Tigo hawana mpango, nilishawahi kulalamika hapa baada ya kuibiwa pia, hivi watu wa tigo humu wamo? tupeni maji bu basi!
 
go hawana mpango, nilishawahi kulalamika hapa baada ya kuibiwa pia, hivi watu wa tigo humu wamo? tupeni maji bu basi![/QUOTE]

Wengine mnatumia andoid bila kuzielewa android zina updates automatically kila wakati na salio zinaenda
 
Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee. Pasipo kumpigia mtu yeyote tena leo naangalia salio nakuta sh 6.0 na sijajiunga na promotion yoyote mana hata wakinitumia masms yao huwa siyasomi nadelete juu kwa juu. Hv hii kero itaisha lini mana kwa hakika wanenikwaza na nimewatukana matusi magumu ambayo hata kuandika siwez. Jaman nisaidien nifanyeje mana hata hao customer care wao hata uwatafute siku nzima unaweza usiwapate.
Kwanza angalia matumizi yako kwenye 'recent calls' pengine uliacha cm mahali mwenzio akaitumia.
 
Back
Top Bottom