Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 1,002
Mkuu tuliambiwa mpaka saa 11 asubuhi hiyo saa nne umeitoa wapiTigo walitoa taarifa Jana kuwa watakuwa na marekebisho ktk mfumo wao wa tigopesa. Tatizo huwa mkiona sms za tigo,mnafuta bila kusoma..! Subiri mpaka saa 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me biashara yangu ni hiyo tigopesa,nilipiga simu kuulizia ndo nikaambiwa. Na sasa hivi iko poa!Mkuu tuliambiwa mpaka saa 11 asubuhi hiyo saa nne umeitoa wapi
vumilia tu labda wanaendeleea kukujaza taratibuNdugu zangu tokea jana Dogo anaumwa,hela ipo kwenye simu nimeenda hospitali nikijua nitatoa hela mpaka sasa hivi nimekwama nikiwapigia wananizingua ,nimeonekana kama tapeli hapa hospitalini naombeni ushauri wa kisheria naweza kuwafanya nini hawa wa ndugu.
Ni kweli usemavyo mkuuPole sana. Jifunze kuwa na cash ndani kwa kusaidia ktk dharura. System siyo ya kuitegemea kwa asilimia 100%.
Hiyo voda unayotumia ya mkoa gani?Jana nzima hata Voda kulikuwa na matatizo ya kimtandao.
Ndio hivyo mkuu.Ni kweli usemavyo mkuu